Habari iliyokufurahisha JamiiForums

Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
455
562
Binafsi naona jf ni zaidi ya habari kuna burudani sana kutokana na nyuzi za watu mimi uzi ulionifurhisha. Ni wa MSAGA SUMU uliokuwa unasema Wastara kuolewa tena na mbunge wa UKAWA hapa haswa “Atakuwa kada mwingine kujitokeza kusema CCM siyo mama yake“ kama sikosei

Na wewe tupe uzi wako na mwandishi.
 
Yaaani nikitaka kucheka nafungua uzi "siku ya kwanza kupanda ndege" ushsmba mzigo...huwa nakufa kwa kicheko
 
Back
Top Bottom