HAHAHAHAHAHA karibu sana ukumbini jisikie uko nyumbani. Nimepita pale Iringa mara nyingi sana kikazi na nilipapenda mno hasa kwa hali yake ya hewa na njombe pia nilishaingizana. Kule Gangilonga pia nilizuru kama mtalii na kupanda kule juu ha ha ha ha ha karibu ukumbini. Jina lako limenikumbusha Iringa
he heeeee karbu mpaka ukumbini naona unatokea nyanda za juu kusini, Iringa nini? maana huwa nachimba sana dawa maeneo ya Iringa ninapo elekea kukajha kala aka bhandu abha mahara mu ntu siyo kama BwaBwa