Habari Great thinkers

Gangi Longa

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
275
135
Mimi naitwa bwana Gangi Longa natokea mitaa ile ya nyanda za juu kusini naomba u-member humu ndani
 
Mimi naitwa bwana Gangi Longa natokea mitaa ile ya nyanda za juu kusini naomba u-member humu ndani

........Karibu sana Gangi longa ndani ya JF naona unatokea mitaa ya ulanzi.Jisikie upo Nyanda za juu kusini hapa JF.
 
Mimi naitwa bwana Gangi Longa natokea mitaa ile ya nyanda za juu kusini naomba u-member humu ndani

HAHAHAHAHAHA karibu sana ukumbini jisikie uko nyumbani. Nimepita pale Iringa mara nyingi sana kikazi na nilipapenda mno hasa kwa hali yake ya hewa na njombe pia nilishaingizana. Kule Gangilonga pia nilizuru kama mtalii na kupanda kule juu ha ha ha ha ha karibu ukumbini. Jina lako limenikumbusha Iringa :)
 
he heeeee karbu mpaka ukumbini naona unatokea nyanda za juu kusini, Iringa nini? maana huwa nachimba sana dawa maeneo ya Iringa ninapo elekea kukajha kala aka bhandu abha mahara mu ntu siyo kama BwaBwa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom