Haamini anachokiona

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
8,987
12,444
Watu wameumbwa .
IMG_20181207_204511.jpeg
 
Usipojua dunia iliko sasa hivi utahangaika sana na hivi viumbe(Mama na Dada zetu) mwishowe kujikuta unapoteza muda wako tu bure pasipo na faida yoyote Mkuu.

TAHADHARI:

Usijichanganye kabisa wala kukurupuka kwa kuthubutu kukutana na binti usiyemjua njiani kwa kumuona kwa macho yako ukadanganyika kuwa "KAUMBIKA VUZURI" LA HASHA! kwa 100% maana leo hii wanawake wameshafikia hatua ya kujitengenezea miili feki kwa sababu zifuatazo:

1. Surgery "kufanyiwa upasuaji na kupandikiziwa nyama za zingine katika matiti/maziwa, hipsi na ma.ta.ko tofauti kabisa na walivyoumbwa na Mungu".

2. Humeza vidonge vya kuongeza/kunenepesha hipsi na ma.ta.ko.

3. Huchoma sindano pia kuongeza hizo hizo hipsi, ma.ta.ko na maziwa/matiti.

4. Hupakaa dawa mbali mbali kuongeza maumbile sehemu za matiti/maziwa, hipsi na ma.ta.ko

5. Hujichubua rangi zao za asili ili wawe weupe feki.

6. Hujipakaa malipstik kuficha midomo iliyoungua tokana na kupatwa na UKIMWI, japo siyo wote bali wengine huiga ili waonekane hawapitwi na wakati pia pasipokujua madhara yatokanyo na hizo lipstick kama vile KANSA tokana na marangi wanayokula bila kujua.

7. Huvaa mawigi vichwani kuficha nywele zao zilizonyonyoka kwa kupatwa na UKIMWI, japo siyo wote bali wengine huiga tu pasipo kujua lolote na kutokuwa na UKIMWI kabisa.

8. Hujiwekea makucha feki, na makope feki ili aonekane ni mrembo nakati uzuri hudumu daima na urembo huwa ni wa muda tu hatimaye hukutwa na magonjwa ya kila aina na kuzeeka mapema tokana na kemikali nyingi wanazotumia katika ujana wao.

USHAURI:

Hakikisha kwanza umeshafanya utafiti wa kina na wa kutosha hasa kumjua Binti vizuri ukianzia alipotoka, alivyolelewa na asili ya umbile lake japo hata katika urithi wa Wazazi au ukoo aliotokea ili kuhakikisha amejaliwa uzuri uliotokana na asili/uhalisia wa nyumbani kwao na huyo Binti utayevutiwa naye kabla ya kuvutiwa/kumpenda Binti/Msichana yeyote.

Ukishajiridhisha katika tafiti zako sasa utakuwa huru kuteweza kuanza kujenga naye urafiki, kumtongoza, kumchumbia na kumuoa.

"CALL ME " FULLFILLEDTRUTH"
 
Leo nimepita mahali nikawa namshangaa mrembo mmoja. Wanaume wa Dar waliokuwa wanaendesha Bajaj wakawa wananishanga mie ninayemshanga mwanamke. Nikawashanga kweli. Yani wanaacha kuangalia makalio, wao wananiangalie mie nilietumbua macho!
 
Leo nimepita mahali nikawa namshangaa mrembo mmoja. Wanaume wa Dar waliokuwa wanaendesha Bajaj wakawa wananishanga mie ninayemshanga mwanamke. Nikawashanga kweli. Yani wanaacha kuangalia makalio, wao wananiangalie mie nilietumbua macho!
Wao kwao vimeshakuwa vitu vya kawaida ndio maana hawashangai
 
Back
Top Bottom