Haaaa!! Baada ya kuoa na kupata kazi brazza kimyaa

Haaaa!! Baada ya kuoa na kupata kazi brazza kimyaa

okay....ni kitu gani ambacho nyie wanaume kinawafanya msikumbuke nyumbani baada ya kuoa....natamani kujua hilo ili niache kuwashangaa....

^^
Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kuwa '..mtoto wa kike ni mwanangu hata akiolewa,lakini wa kiume ni wangu kabla hajaoa akioa ni msafiri..'
Ninayo mifano mingi yenye sababu tofauti ila fanya uchunguzi juu ya hilo.
^^
 
Kitu kisichokawaida huletwa n'a sababu zisizo za kawaida n'a utatizi wake huenda ukawa si sa kawaida...yaani dawa ya moto ni moto! Ukweli ni kwamba jamii zetu zinauchawi n'a unatesa wengi.....kama mnaomba Mungu Mumuombe Kweli Kweli yaani kwa ile imani iliyo kuu...n'a kama mnaona hamna uhakika n'a imani z zenu nendeni kwa sangoma.
 
Kabla ya kumlaumu wife wake, naomba majibu haya!

Alikuja nyumbani mara ngapi kipindi yuko chuo? (nazungumzia likizo hasa hasa alikuwa anarudi home au anaenda kwingine!

Baada ya kumaliza chuo aliwapa taarifa ya wapi amepata kazi? Aliwahi kuja nyumbani mara ngapi kabla ya kuoa? Alituma sh ngapi nyumbani kabla hajaoa?

Na huyo mjomba aliyepewa taarifa alienda kwenye harusi? Hao watoto amewaona wote kwa macho?
 
Ushawishi wa baadhi ya wanawake wasio na malezi ambao wanaamini baada ya kuolewa wamemchukua mwanamme na hana familia tena ila wao wana ndg na familia inayohitaji msaada ktk ndoa yao. Huu ni ubinafsi na uhuni ambao unatoka hata kwa ushauri wa wazazi wa wanawake. Nina shuhuda chache za hali hii ila tuache mada iendelee kwani nyingine inahusu familia yangu kabisa.
sawa nimekuelewa ........hili tatizo ni janga la taifa....familia nyingi zinakumbwa na hili tatizo
 
^^
Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kuwa '..mtoto wa kike ni mwanangu hata akiolewa,lakini wa kiume ni wangu kabla hajaoa akioa ni msafiri..'
Ninayo mifano mingi yenye sababu tofauti ila fanya uchunguzi juu ya hilo.
^^
maneno ya huyo babu yawe fundisho kwako...
msiwasahau wazazi jamani.....waoneeni huruma...
 
hapa kuna ma-points mengi aisee
Huyo itakuwa Mkewe kamacomvise Maza wako kigagula, anataka kutoa kafara au kumchukua msukule! Haji hata mmfanyaje! Kwa akili zake anaona aje mumle nyama!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuu!

Wanume mkeo akikwambia twende kwenye maombi gani sijui muwe macho sanaaa! Inaishiaga kuambiwa mama yako na ndugu zako ndo wachawi wakubwaa, wangekuua ungechelewa kwenda huko, blah blah blah! Ndugu zako wewe tu ndo washirikina wa mkeo watakatifu je na uwasaidie sanaa! Hio ni trick tu ya wanawake kuwatengeni na ndugu zenu! We wasikuue ukiwa kachanga help less, unawatia shoti tu za maziwa, nguo na chakula waje wakuloge umeisha Bingo si watakuwa punguwani!!!!!!!!!!
 
Kazi ni kwako hapo..chunguza ndo solution utaipata hapo..
 
akuna kitu kibaya ambacho mama anaweza kukufanyia nawe ukamsahau hvyo....katika ukuaji wake hata yey kuna kitu kibaya alishawah mfanyia mama yake lakini mama yake hakumuacha bali alizidi kumpenda kama mtoto.....kwangu mim hyo siyo sababu ya kumfanya hamsahau mama yake kiasi hicho...

ukae ukijua akili zinatofautiana unaweza kumzuru mtu leo yeye kwa kuwa anashida atakuvumilia ila akifanikiwa ujue hata kaa akutafute kwa jambo lolote me nahisi huyo jamaa kuna kitu alishawai kufanyiwa na uyo mama kukaa na mama yataka moyo kuna wamama akili zao ni mtambuka
 
mkuu hiyo kwangu ni kali, unaoa halafu humwambii hata bi mkubwa?? hata kama una ugomvi nae vipi, lazima umpe taarifa ili ajue akitaka aje au asije lakini uwepo wake ni lazima, nyie wenye wazazi walio hai nadhani bado hamfahamu umuhimu wake ..
 
Wakuu nina kakayangu mmoja ana miaka39 ,kasomea ARUSHA Msingi mpaka sekondari kipindi anasoma sekondari alisomeshwa kwa gharama kubwa sanaaa , advance(a-level)kasome dsm kamaliza form6 mwaka 1996, akaingia chuokikuu mwaka 1998 mwaka 2001 kamaliza degree yake ya kwanza , mnamo mwaka 2003 alipata kazi nzuri sanaa ,akapata mke akaoa hakumjulisha mamayangu kwamba anaoa , akapata watoto hakumwambia mama bali ni mjomba wangu(kaka wa mama yangu) ,ndiye aliyemwambia kwamba kaka yangu ameoa na anawatoto watatu ,sasa basi huyu kakayangu hana mawasiliano kabisa na mama yangu ,sasa hapa tatizo lipo wapi ni huyu mwanamke aliyemuoa au tatizo ni kuwa na kazi nzuri na kutusahau kabisa mama yangu ,maana hata nyumbani hataki kuja ,mimi mdogo wake wa mwisho sina namba namba yake na hana habari na mimi ,tunatamani sana kaka yetu kumuona akija nyumbani kwetu lakini hataki wakuu , tatizo linaweza kuwa nini wakuu au tayari kashawekewa limbwata(kizizi) na huyo mkewake ?[/QUOTE

Nitumie no.yako.
 
huyo kaka yako tu akili zake hazina akili


Dunia ikimpiga kofi ataijua njiabya kwenda kwa mama yake
 
Get a job get life. Fukk him!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
maneno ya huyo babu yawe fundisho kwako...
msiwasahau wazazi jamani.....waoneeni huruma...

Tuwaonee huruma for sure I can not imagine uchungu anaoupata huyo mama.....

Mie mama angu ndo kila kitu yaani huyu anavyomfanyia huyu mama hivi najisikia uchungu kweli.
 
ukae ukijua akili zinatofautiana unaweza kumzuru mtu leo yeye kwa kuwa anashida atakuvumilia ila akifanikiwa ujue hata kaa akutafute kwa jambo lolote me nahisi huyo jamaa kuna kitu alishawai kufanyiwa na uyo mama kukaa na mama yataka moyo kuna wamama akili zao ni mtambuka
labda siyo mama mzazi......aisee mama ni mama hata awe mkorofi vipi bado atabaki kuwa mama yako......na unatakiwa kumhudumia kwenye uzee wake.....
 
mleta thead ujafunguka vya kutosha....lakini pole, pia jaribu kutafuta sababu ya yeye kufanya hivyo nini?....
 
Tuwaonee huruma for sure I can not imagine uchungu anaoupata huyo mama.....

Mie mama angu ndo kila kitu yaani huyu anavyomfanyia huyu mama hivi najisikia uchungu kweli.
acha tu ni uchungu haswa.....tena unapewa taarifa za mwanao kupitia mtu mwingine......
 
Ni mtu wa iringa

Kama muhehe kaka ajaribu kumuudhi muudhi atafute kitanzi ajinyonge
BACK TO TOPIC
hata kama wewe ni mdogo sana kwa kaka yako talk to him, lait angekua kamsahau baba it wouldnt matter to me that much maana katk familia nying watoto wakiume kama walitelekezwa na baba zao huwa ni vigum kupatana nao,ila kama ni hyu mama ulie nyonya,in mid night homa mama halali,mama aliekukata kucha, take best care of yu all those years despite the fact anaweza kuwa na maudhi kiasi gan ila huwez KUOA,GET KIDS and anakuja kusikia from a third party
ipo shida kwa nduguyo ongea nae ikiwezekana kama wewe ni muumini washirikishe na viongozi wa dini
 
Back
Top Bottom