Gym gym Morogoro

Gym gym Morogoro

kituli one

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
410
Reaction score
313
Naulizia wapi ntapata huduma ya kufanyishwa mazoezi kwa morogoro mjini na bei yake kwa mwezi?Naombeni msaada
 
Naulizia wapi ntapata huduma ya kufanyishwa mazoezi kwa morogoro mjini na bei yake kwa mwezi?Naombeni msaada
Kuna gym kama nne zinazojulikana hapa mjini..bei sijui bt mojawapo ni kama elf 5 kwa siku..mbilk zipo barabara ya kwenda msamvu toka mjini..simbaoil na kwa sadiq..zote zipo sehem zenye petrol station..nyingine mazimbu road..nyingine mjini opposite na crdb shani karibu na kituo kikuu cha daladala..muulize mwenyeji wako hizo sehemu ni famous atakuelekeza utauliza vizuri bei..
Hope nimesaidia kidogo
 
Daahhh!!!! Uwa napata taabu sana kupata gym Morogoro, hiyo ya Simbaoil asubuhi wanafungua saa moja na nusu
 
Kituo kinaitwa SimbaOil nadhani ila ukitokea mjini unaweza ukatembea tu sio mbali. Mawasiliano sina labda nikirudi kama utahitaji nitakuchekia.
 
Ashuke Kituo Kinaitwa Kanisani
Ataiona Simba Oil
 
Back
Top Bottom