TANZIA Gwandumi Mwakatobe afariki dunia

TANZIA Gwandumi Mwakatobe afariki dunia

TOKA MAKTABA :

23 May 2026
Bonn, Ujerumani

Mtizamo wa Mchambuzi : Mwigulu Lameck Nchemba si chaguo la wengi kuwa Waziri Mkuu | DW Kiswahili

View: https://m.youtube.com/watch?v=S2_P4gEy-8Q
Baada ya Mwigulu Lameck Nchemba kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu mpya Tanzania na jina lake kuidhinishwa na Bunge la chama kimoja dola mjini Dodoma

je wachambuzi wanamtizama vipi? DW Imezungumza na mchambuzi wa siasa Gwandumi Mwakatobe ni hii ndiyo tathmini yake
View attachment 3593855
Photo : Gwandumi Mwakatobe

Halafu alikuwa ni Member humu jukwaani.
Comrade, pumzika kwa amani.
 
Za usiku huu wakuu,

Mchambuzi nguli wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Gwandumi Mwakatobe, amefariki dunia. Mazishi yake yamepangwa kufanyika siku ya Jumanne mjini Sumbawanga

Binafsi nimekuwa nikifatilia uchambuzi wake kwenye kipindi cha maoni mbele ya mawazo ya meza ya duara kupitia DW hakika alikuwa mjuzi wa mambo mengi, ni pigo kubwa kwa tasinia ya uchambuzi wa matukio mbalimbali ya ndani na kimataifa.

Apumzike kwa amani ndugu yetu
Apumzike salama,bonge moja la mchambuzi wa siasa.hakika ni pigo kubwa
 
Ni member humu kuna kipindi nilikuwa nawasiliana naye baadaye tukapotezana

Alikuwa mtu poa sana aliyesimama na wananchi Kila alipopata nafas DW KISWAHILI kipindi cha MEZA DUARA chini ya SUDI MNETE alikuwa mwanamajumui wa kiafrika mpenda maendeleo

Vurugu za oktoba 29 alisimama na wananchi na alitaka wahusika wawajibishwe

RIP GWANDUMI MWAKATOBE
 
Back
Top Bottom