Kuna approach ilofanyika kwenu ikawa sahihi. Makonda kawataja wadau wa madawa. Mkalia sio approach sahihi Magu kuondoa wafanyakazi wenye vyeti vya kugushi mnasema sio approach sahihi. Kawaeleza ukweli kagera sio approach sahihi etc etcTrue. Ila nilichomwelewa ni kwamba tuliowapa dhamana walituingiza mkenge lakini suluhisho au approach ambayo inatumika kutunasua huku walipotuingiza anaona sio sahihi.
Mkuu ,TL Marandu, nakupa tuu angalizo:huyu Magufuli ambaye kwa Upumbavu sana! Na Nasema Kwa Upumbavu sana Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli kwenye hili swala la Madini ni Mpumbavu kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni Mpumbavu!.
Mara nyingi najaribu kujizuia kuwavaa watu ninaowaheshimu hapa JF - hasa kuhusu siasa, lakini naomba nikuulize kitu kimoja mkuu. Pia naomba uwe mkweli kwako mwenyewe katika jibu lako:Mkuu,
Unaelewa Maana ya jiwe walilolikataa washi? Ccm walipinga kwa kura za hapanaaaaaa bungeni,pale wapinzani walipotoa hoja ya kuitafakari upya mikataba ya madini na mafuta na gesi.
Zaidi ya yote,wakatoa mikataba ijadiliwe na kupitishwa ndani ya muda mfupi sana.
Ndugu zetu wale wale wakaitikia kwa sauti za juu na makofi kwenye meza ndioooooo.
Leo unataka waweke silaha chini wakati walishasema wakapuuzwa??
Angalia mahali pengine pa kutokea.
Hii nchi ifike kipindi tuwatoe hawa watu,wanazidi kututia majaribuni.
True. Ila nilichomwelewa ni kwamba tuliowapa dhamana walituingiza mkenge lakini suluhisho au approach ambayo inatumika kutunasua huku walipotuingiza anaona sio sahihi.
Hapo ni kupindisha Maana.Mara nyingi najaribu kujizuia kuwavaa watu ninaowaheshimu hapa JF - hasa kuhusu siasa, lakini naomba nikuulize kitu kimoja mkuu. Pia naomba uwe mkweli kwako mwenyewe katika jibu lako:
SWALI
Hivi kama Lowassa angekuwa ndio raisi wetu, angeweza kukamilisha hata nusu ya alichokifanya Magufuli, todate?
Kwahiyo tuwapeleke China?Kujadili hili ni upuuzi Mkapa na Karamagi ndio chanzo cha matatizo yote na majibu wanayo wao pia huu upuuzi kama ungetokea China muda huu wangekuwa wameshanyonga mtu.
Akae nani? Lowasa?Mkuu,
Unaelewa Maana ya jiwe walilolikataa washi? Ccm walipinga kwa kura za hapanaaaaaa bungeni,pale wapinzani walipotoa hoja ya kuitafakari upya mikataba ya madini na mafuta na gesi.
Zaidi ya yote,wakatoa mikataba ijadiliwe na kupitishwa ndani ya muda mfupi sana.
Ndugu zetu wale wale wakaitikia kwa sauti za juu na makofi kwenye meza ndioooooo.
Leo unataka waweke silaha chini wakati walishasema wakapuuzwa??
Angalia mahali pengine pa kutokea.
Hii nchi ifike kipindi tuwatoe hawa watu,wanazidi kututia majaribuni.
Ndio wamesahau.Haya makampuni ya madini yaliisaidia sana ccm ktk fedha za kampeni uchaguz uliopita leo ccm wanataka kutuambia wameshasahau fadhila walizopewa miaka 2 miwil tu iliyopita?
Asante mkuu, umenijibu swali langu.Hapo ni kupindisha Maana.
Tunaanzaje Ku deal au Ku concentrate na habari za kufikirika wakati real things vinatushinda??
Better uka niita Tuka discuss vya kugusika,upepo si mzuri kuudiscuss hatuujui umbo,rangi wala urefu na upana wake.
wewe sasa ndio unatupotosha!Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi
Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi
kuna uhusiano gan kati ya neno hilo na chuki?Ulipoanza kuandika neno "UPUMBAVU SANA" hapo hapo nimeachia kusoma andiko lako kwani ni wazi umesukumwa na chuki bila kuwa na hoja.
Si uandishi wa kushawishi zaidi ya uhuni na mihemko tu.
Soluhisho ni kuwaita Acacia na Ikiwezekana Diplomats wa Nchi zao na Kuwaambia Look here, mlipewa mkatataba wa ovyo sana Wananchi wanachachamaa, Hali inafukuta chini chini, Lazima tukae chini Tuweke Mkataba na Utaratibu mpya! Ambao ni Win Win. Kwa hali ilivyosasa! Intelligence tulionayo ni kuwa Wananchi wamechoka na Wakianza kuchoma migodi yenu wote tutakosa, "Is that too much to ask kutaka mlipe kodi 9% ya Faida yenu na 10% Kama Royalty which will leave you guys with over 81%?" Mimi Ndivyo ningefanya! Wakikataa Nakula Jiwe miezi minne Baadaye Tuaoganize Wananchi kama Elfu moja wanaenda pale na kupiga Mawe, "Tunataka Dhahabu yetu Tunataka Dhahabu yetu" Na hakuna askari kupiga mtu. Wanakamatwa wananchi kama 10 wanawekwe kwenye Landrover, keshot wanaachiwa! Wiki. Ijayo Magari ya migodi yanapoigwa mawe na wananchi tena, Wazungu Mbio wanakuja, Tuko Tayari kwa Mazungumzo, Mnawaambia. Aku It. Is. Now completely out of our hands,the only solution is for you guys to give us the 21% we said before agnd 3% to the Local citizens for their local public services that may calm them down!cMkuu toa suluhisho sahihi basi ili tulijadili tuone kama litakuwa suluhisho bora kuliko approach anayotumia mh. Raisi
Nasema Ukweli Mbele za Mungu, Magufuli mimi nilikuwa nampenda 10x kuliko Lowassa! Mimi mtu akikosea hata kama ni baba yangu, Hasa akionea mtu au watu Ndio Kabisaaaa sitaki hata !umsikia. Kwa hiyo Jibu ni Yes Lowassa angekuwa Rais Akawaonea CCM kama Maguguli anavyowaonea Chadema Ningemshambulia Tu. Na kama Lowassa angekuwa Rais na akafanya Jambo ambalo ni Hasara na Litailetea Tanzania Mateso siku za Usoni Ningempinga hivihivi. Kwani Mnafikiri Wanaompinga Magufuli walikuwa Wanamchukia. Wewe ni shaidi ni Watanzania wachache sana walikuwa hawampendi Magufuli kama Magufuli. Mimi ilinichukua Muda kunawa mikono, na imetoka. As Individual sina shida naye na Kwanza simjui hanijui. Ukitaka kujua mimi Sijali kumkosoa Mtu, Bishop Gwajima Kwangu ni Kama Brother, na hata Wakati anaanza Pale Ubungo tulikuwa tunakesha yeye na Vijana wengine Tukisali na Kulala Juu ya Mabenchi Niliwanunulia Maziwa na Mikate mimi! Na bado namheshimu na Kumpenda Mbona hapa hushangai Nampinga?Mara nyingi najaribu kujizuia kuwavaa watu ninaowaheshimu hapa JF - hasa kuhusu siasa, lakini naomba nikuulize kitu kimoja mkuu. Pia naomba uwe mkweli kwako mwenyewe katika jibu lako:
SWALI
Hivi kama Lowassa angekuwa ndio raisi wetu, angeweza kukamilisha hata nusu ya alichokifanya Magufuli, todate?
Mkuu TL unapoandika, what matters most sio the motive behind ya ulikusudia nini bali the perceived meaning ya maana atakayoipata mtu anayesoma andiko lako. Japo humu jf tuna members wengi wenye uwezo wa to read in between the lines hivyo hao ndio wataoweza kubaini ulimaanisha nini ndani ya mawazo yako, lakini members wengi zaidi ni watu wa kawaida tuu wasio na uwezo huo.Anyway I need to edit someting ingawa simwogopi mtu, sikukusudia hapa Kumwita Rais Mpumbavu kama Binafsi!
Asante kwa maelezo yako mazuri. Yananipa faraja kuona bado tuna watu objective kama wewe.Nasema Ukweli Mbele za Mungu, Magufuli mimi nilikuwa nampenda 10x kuliko Lowassa! Mimi mtu akikosea hata kama ni baba yangu, Hasa akionea mtu au watu Ndio Kabisaaaa sitaki hata !umsikia. Kwa hiyo Jibu ni Yes Lowassa angekuwa Rais Akawaonea CCM kama Maguguli anavyowaonea Chadema Ningemshambulia Tu. Na kama Lowassa angekuwa Rais na akafanya Jambo ambalo ni Hasara na Litailetea Tanzania Mateso siku za Usoni Ningempinga hivihivi. Kwani Mnafikiri Wanampinga Magfufuli walikuwa Wanamchukia. Wewe ni shaidi ni watanzania wachache sana walikuwa hawampendi Magufuli kama Magufuli. Mimi ilinichukua Muda kunawa mikono na imetoka. As Individual sina shida naye na Kwanza simjui hanijui. Ukitaka kujua mimi Sijali kumkosoa Mtu, Bishop Gwajima Kwangu ni Kama Brother, na hata Wakati anaanza Pale Ubungo tulikuwa tunakesha yeye na Vijana wengine Tukisali na Kulala Juu ya Mabenchi Niliwanunulia Maziwa na Mikate mimi! Na bado namheshimu na Kumpenda Mbona hapa hushangai Nampinga?