Sio kwamba hana kazi ya kufanya ila anatanua mipaka, kama kuna mtu anamapepo anambwengua alafua kazi inaendelea.Wachungaji wa zamani walikuwa muda wao wanautumia kwenda mahospialini kuombea wagonjwa na kuwapa chakula wasiojiweza kutoka kwenye sadaka, kwenda gerezani kuwapa injili wafungwa na walionewa kuwasaidia kutetea haki, kutembelea waumini wao kuwajulia hali, kutenga muda wa kukaa kwenye maombi kanisani, ila Sasa imegeuka wachungaji wanamuda mwingi wa kupoteza mpaka wanatafuta majukumu mengine ya kushinda bungeni.