Gwajima: Nitaendelea Kuinyoosha Nchi Ninapoona Haiendi Sawa!

Gwajima: Nitaendelea Kuinyoosha Nchi Ninapoona Haiendi Sawa!

it is dangerous to be right when the government is wrong
 
Ni heri kukaa kimya na kufanya kile kinachokuhusu kuliko kuendelea kupayuka yasiyobeba uhalisia na yenye makengeza mengi....!!
Kuna mkakati unaandaliwa wa kufutia usajili taasisi za kidini na vyama vya kijamii vinavyojihusisha na siasa, Gwajima anaweza kuwa mhanga namba moja

Mbona Pengo anajihusisha kwa hiyo watalifuta kanisa katoriki au?maana mimi najua makanisa ni taasisi.
 
Hekima na Busara kwa gwajima ni kidogo sana mda huu alipaswa kuwa kwenye chumba cha kufikiri. Dini na siasa wapi na wapi anapotosha umma kwa visingizio vingi vingi tu.

Wewe ni kipofu wa fikra,hausomi ata biblia,hauwezi tenganisha biblia na siasa plus maisha ya kila siku.
 
Kama anamaanisha anachojkisema na kweli kinatoka rohoni mwake, tunamkaribisha sana. Na historia inaonyesha hivyo kuwa viongozi wa dini walikuwa na msuguano na viongozi wa siasa pale ambapo mambo watawala ( wanasiasa ) walipindisha mambo. Lakini nahisi Askof Gwajima hana muda mrefu katika kujishughulisha na mambo haya zaidi ya kuhubiri enjili tu. Ameibuka ghafla na kufika mbali kama vile anapewa data na mtu fulani ( remote control ) na kama hivi ndivyo ilivyo namsihi atambue shida na matatizo ya watanzania kwa usahihi wake kuliko kutumiwa na wanasiasa.

Hakika wewe haumjui unaemuongelea,ameibuka gafla huku kaanza kanisa 1994
 
Ni heri kukaa kimya na kufanya kile kinachokuhusu kuliko kuendelea kupayuka yasiyobeba uhalisia na yenye makengeza mengi....!!
Kuna mkakati unaandaliwa wa kufutia usajili taasisi za kidini na vyama vya kijamii vinavyojihusisha na siasa, Gwajima anaweza kuwa mhanga namba moja
Mamlaka hii iko mwisho hata wakimfutia leo naamini atapata usajili mpya baadaye
 
Back
Top Bottom