Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

Una hoja ' somewhere ' ila nadhani hapo katika ' threat to national security ' ungemjumuisha na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Christian Makonda hoja yako ndipo ingekuwa na mashiko makubwa. Nikushauri tu Mkuu naomba kwa nguvu hii hii ya ' kumpovukia ' Bishop Gwajima hadi ukamuanzishia huu uzi basi nikuombe ufanye pia hivyo hivyo kwa kumuanzishia uzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Makonda kwani sisi tumeshamsema mno ila sikio lake ameweka ' nta ' hivyo pengine Wewe ' Mnafiki ' mwenzie uliyetukuka anaweza kukusikia.

Ukiomwondoa Makonda kama threat to national security vinginevyo ni:

  1. Njaa na uhaba wa Pesa kila pembe ya Tanzania kunakotokana na kukomoana na makusudi.
  2. Utekwaji nyara raia na tunapewa siku watakayopatikana na kweli inakuwa hivyo.
  3. Ununuaji wa Bombardier bila kupata mchanganuo kamili wa manunuzi yake Kisheria.
  4. Utolewaji wa Bastola hovyo.
  5. Kuvamia Vituo vya Radio na kuwatishia Watangazaji kuwahusisha katika ' Ngada ' au dawa za kulevya.
  6. Kutongoza Wanawake hasa Wasanii kwa nguvu na kupora kinguvu Magari ya Kifahari ya Watu.
  7. Kunuka Soksi, Miguu na hasa Mdomo.

Point!
 
Diamond Anasema Kwenye Nyimbo
Gwajima Altareni Sijaona Tatizo Hapo
 
Nimeshangaaa ibada ya ajabu mwanzo imeanza na madada manene yaliyovaa nusu uchi yakiimba, ikafuatia mipasho mfululizo mwisho nikaona sadaka. Sasa nauliza hao waamini wameenda kusali kitu gani? inamaana mahubiri yake mpaka tukio litokee au mtu amuuthi ndio apate mahubiri ya jumapili?

Inatupasa kuwaombea watumishi wengi wa Mungu wa kipindi hiki. Inaonekana walio wengi wameacha huduma yao inayowastahili wamejiingiza katika mambo yasiyowahusu. Kabla ya kukemea maovu maandiko yanasema mtumishi wa Mungu awe mfano wa kuiga (Math 5:16). Wanapaswa kukumbuka ya kwamba "Asiye na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe" [kwa yule mtuhumiwa wa **** Yoh 8:7), awe chumvi na nuru ya dunia (Math 5:13-14). Biblia inasema wawe tayari kuwaheshimu watu wote na wampe heshima mfalme (1 Pet 2:17), wawe makini kuwaombea watu wote (wakuu, watawala) wapate kumjua Mungu (1 Tim 2:4). Hii ya kuendekeza maneno maneno ya mitaani kama hayo haiwapasi kabisa inawapunguzia heshima nyingi tunayowapa. Tuwaombee.
 
Kwani yesu wakati ule hakuwaita Wakusanya kodi ni watu wabaya,
hajawaita watu kizazi cha zinaa,uzao wa nyoka,wapumbav etc wakati wa mahubiri yake?,

imani ni kitu kipana sana ,huwezi kuosha kikombe ndani nje ukaacha kichafu halafu unywee maji kwa amani,

kama gwajima kakutouch sana si uhamie kwa wasabato bana,
nani kakufunga kamba ukamsikilize?
 
Kwahyo siku zote ulishindwa kupost Kisa kamlipua diamond Ndo unalalamika ujifikirie kabla ya kupost wewe ouvu wa nchi hii unaweza kuukemea??? Wakipatikana majasiri unawalaumu ,,, ujihoji kabla ya kuandika post zako
Nimeshindwa kumuelewa. Kuna huyu MTU anashutumiwa kutumia cheo kufanya mambo kama kutuma watu kutishia waziri bastola, kuteka watu, kunyang'anya matajiri Mali zao kwa vitisho kuwa wako kwenye orodha yake ya madawa ya kulevya na tuhuma za rushwa kubwa yeye sio threat katika usalama wa nchi kwa vile wana mahaba na chama atokacho.
Hivi kweli mfichua maovu ndio anakuwa tishio la usalama? Hicho sasa kichaa! Gwajima hasemi kwa kificho na asiyekubaliana naye aende kumshtaki.
Makonda kaambiwa yeye sio bali no Bashite mbona hajabisha? Tuache mahaba na kujivua akili kwa mambo yaliyo wazi, na huu utetezi ndio unawapa waovu courage ya kuendelea na uovu
 
swali nje mada,wewe ndiye yule Jack Beur wetu wa zamani au ni mpya,ulichangamsha bongo zetu sana pia tulikumiss hoja zako sana kama vpi lete zingne mpya.watch out huku pia wanafuatilia
 
Gwajima anaitumia vilivyo torati ya Musa, ni jino kwa jino.

Tueleze ni wapi Gwajima alimshambulia yeyote yule bila kuchokozwa?

Jinsi ya kumueupuka Gwajima ni simple sana get ur life n live him alone.
Halima mdee na yeye kamchokoza wapi uyo gwajim?
 
IDs hizi za Lumumba huwa kazi yake kupotosha tu,kwa Ben Saanane mlianza hivi hivi huku mkikebehi ilihali wazazi wake waliomzaa na kumlea kwa tabu wakiumia,kisa mnalipwa!!

Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu majibishano na mipasho ambayo anayejiita Askofu Gwajima na watu mbalimbali wanaotofautiana nae,a.k.a bifu, amekuwa akitumia mtaji wa forum ya waumini wake kuwaattack wagomvi wake non stop, ambapo hao victims bahati mbaya hawana forum ya kufight back, matokeo yake anawasababishia picha mbaya kwa jamii na hata msongo wa mawazo kwa hawa victims.

Kwa sasa Askofu huyu anajitambulisha kama ndiye mkemea maovu kwenye Nchi, matokeo yake akiachiwa aendelee hivi ataleta uvunjifu wa amani Nchini.

Ameishajua watanzania walio wengi wanapenda umbea so anawalisha kile wanachotaka kusikia achilia mbali kuwafanya watanzania hawa kama daraja la kupiga hela ,maake anajaza watu wengi kila jumapili hivyo makusanyo ya sadaka yamedouble kama siyo kutriple.

Anyway hayo ya brainwashing na kupiga hela siyo ishu kwani hao waumini wake ni watu wazima, wenye akili timamu. tatizo ninaloliona ni hii tabia ya personal attack kwa watu anaotofautiana nao, hii itahatarisha amani tuliyonayo na usalama wa Taifa kwa ujumla.

Anaposema Diamond ni member wa Freemanson, inamsaidia nini mtu akishafahamu hiyo imani ya Diamond, hii haimpi mtu ticketi ya kwenda mbinguni eti tu kwa vile umeishafahamu Diamond ni Freemanson, ticketi ya kwenda mbinguni ni kufanya yale yanayompendeza na aliyoagiza Mwenyezi Mungu kwa wanadamu, pia kwa kujua Diamond ni Freemanson haikupi wewe Kinga against matendo ya Shetani.

Mamlaka husika zimdhibiti huyu anayejiita Askofu aliyegeuka Mr Mipasho wakati waumini wake wana kiu ya neno la Mungu,wiki nzima mtu umekuwa bize na mihangaiko ya maisha, Jumapili inafka unasema uende ukamuabudu muumba wako instead unakutana na mipasho mwanzo mwisho over 5 hours, this is not fair to these poor followers.
Kama unakuja kanisani unategemea upate hadithi ya yakobo n musa na kama unazikosa badala yake unakuta story za kijanja...ni bora uache kuwa muumini tafuta kwengine kutakapokupa kile moyo wako unataka. Sijaona threat kwa maneno ya dr gwajima...threat ipo kwa watu kama nyinyi waoga na mnaolinda upuuzi. Mshazoea kukaa kimya ...hata mkeo ukimfuma na mtu unakaa kimyaa,huu ni ubwege..lazima kuwepo na watu charismatic enough...kuonesha umma uelewa ...sio kuburuzwa na waliopewa nyadhifa serikalini. Aliyekwabia serikali ni kila kitu nani?!... Threat ni pale mnapochukuliwa also kutekwa kama kuku na kuachiwa ...sasa kwa hizo threats zimetrend recently ...u still kulilia "national socorito"...or govt?!,,,kwa ufupi post yako ni ya kiandazi sana
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu majibishano na mipasho ambayo anayejiita Askofu Gwajima na watu mbalimbali wanaotofautiana nae,a.k.a bifu, amekuwa akitumia mtaji wa forum ya waumini wake kuwaattack wagomvi wake non stop, ambapo hao victims bahati mbaya hawana forum ya kufight back, matokeo yake anawasababishia picha mbaya kwa jamii na hata msongo wa mawazo kwa hawa victims.

Kwa sasa Askofu huyu anajitambulisha kama ndiye mkemea maovu kwenye Nchi, matokeo yake akiachiwa aendelee hivi ataleta uvunjifu wa amani Nchini.

Ameishajua watanzania walio wengi wanapenda umbea so anawalisha kile wanachotaka kusikia achilia mbali kuwafanya watanzania hawa kama daraja la kupiga hela ,maake anajaza watu wengi kila jumapili hivyo makusanyo ya sadaka yamedouble kama siyo kutriple.

Anyway hayo ya brainwashing na kupiga hela siyo ishu kwani hao waumini wake ni watu wazima, wenye akili timamu. tatizo ninaloliona ni hii tabia ya personal attack kwa watu anaotofautiana nao, hii itahatarisha amani tuliyonayo na usalama wa Taifa kwa ujumla.

Anaposema Diamond ni member wa Freemanson, inamsaidia nini mtu akishafahamu hiyo imani ya Diamond, hii haimpi mtu ticketi ya kwenda mbinguni eti tu kwa vile umeishafahamu Diamond ni Freemanson, ticketi ya kwenda mbinguni ni kufanya yale yanayompendeza na aliyoagiza Mwenyezi Mungu kwa wanadamu, pia kwa kujua Diamond ni Freemanson haikupi wewe Kinga against matendo ya Shetani.

Mamlaka husika zimdhibiti huyu anayejiita Askofu aliyegeuka Mr Mipasho wakati waumini wake wana kiu ya neno la Mungu,wiki nzima mtu umekuwa bize na mihangaiko ya maisha, Jumapili inafka unasema uende ukamuabudu muumba wako instead unakutana na mipasho mwanzo mwisho over 5 hours, this is not fair to these poor followers.
Mamlaka zibwadhibu mara ngapi? Kitendo cha kutaka kumbambikia kesi ya Unga kilikuwa kibaya lazima apaze sauti ili watanzania wajue Tabia mbovu za Bashite na wenzake, hizo mamlaka zipo wapi mbona mwenye vyeti feki hazinuoni? Hizo mamlaka za kuwatuma watu wamchokoze wamuimbe kisha akae kiimya? Wambie hizo Mamlaka ziwakataze watu kumfuata fuata ili akose wa kumjibu, lakini kama mamlaka zako zinawaachia watu wamchokoze yeye atajibu kwani anayo haki ya kujihami kwa njia zozote zile, wewe inaelekea ni boss wake magufuli maana unampa Amri ni bora umwamlishe awakataze wateule wake kuwabambikia watu kesi na kuwachafua sio kutoa Amri za kumziba mdomo Gwajma huku ukirusu watu wanamchokoza.
 
Binafsi namuelewaa sana Gwajima....ila naye anakoelekeaa sasa Anazidiii mtumishi wa Mungu sio lazima kila kitu ajibu...tukija kwa suala la diamond jana alijishusha akatoa utetezi wake licha ya kuwa ukweli ulikuwa mdogo....Lakini kwa mtumishi wa Mungu ilipaswaa kupotezeaa
 
Hivi Tanzania hatuna National Security Council, Matukio ya kiusalama Raisi anayopokea kutokea Kwa DG wa TISS na Minister of Home affairs, It's our time to establish National Security Council which will discuss na Report Direct to Our president Issues concern Security, TISS is Too Politics now and it's not independent Agency anymore
TISs kazi yake ni nini?!....nisaidieni kuelewa kama wapo kisiasa au kitaifa?
 
Kama hajatetemeka ameomba radhi ya nini? Muwe wakweli basi, kwa nini mnajitoa ufahamu kwa kuficha yaliyo wazi?
Wenye akili timamu wanajua kwamba ameepusha shari lakini kwa watu kama nyinyi mnaona ameomba radhi!! Diamond mara kibao sana anaoga matusi mitandaoni; unadhani cha maana ni kipi ambacho Gwajima angesema ambacho yeye hajawahi kuambiwa?! Kwa mfano; hivi issue ya u-freemason ni issue?!
 
Hasa mbona hamsemi kwa nini domo kamtaja mchungaji nyie mlitaka afanye nn au na yy atoe single ya kumjibu dai huyo domo hakuona mistari adi aseme vile kwani ugomvi ulianzia wapi uo ufuasi wenu kufata mkumbo inawakosti sana Haya yy mwenyewe kaomba samahani nyie bado mnaumia xn
Unasoma na kuelewa kabla ya ku-post; au?!
 
Kuhusu Diamond naona Gwajima anatwanga maji kwenye kinu kwa sababu hakuna hata kimoja atakachosema ambacho watu hawajasema:
  • Kwamba Diamond ni Freemason watu washasema sana siku za nyuma....
  • Kwamba Diamond anauza unga watu washasem sana siku za nyuma....
  • Kwamba Diamond amebambikiwa watoto; watu washasema sana siku za nyuma.....
  • Kwamba Zari yupo kwa Diamond kwa mkakati maalumu wa kumchuna pesa; watu washasema sana siku za nyuma....
  • Kwamba Tiffa ni mtoto wa Katunzi; watu washasema sana siku za nyuma
  • Kwamba kale kidume cha sasa ni mtoto wa Ivan; watu washasema siku za nyuma.....
  • Kwamba Diamond ana radhi za babake; watu washasema sana siku za nyuma....
Itoshe tu kusema kwamba safari hii Gwaajima hakuchanga karata zake sawa sawa!! Manake hata akisema Diamond alipata ZERO bado wala haiwezi kuwa story!! Inawezekana kushinda kwake madhabahuni alidhani kuna scandal ambayo inaweza kumtetemesha Diamond bila kufahamu kwamba yoooooooooooooooote yameshasemwa huko nyuma!!!

Hili la Halima Mdee binafsi ndo nikachoka kabisa!!! But trust me; Gwajima amepigwa mkwara afunge bakuli lake na ndio maana siku hizi humsikii akizungumzia suala la Makonda!! Lakini kwavile ameonja tamu ya publicity ya Instagram kupitia Daudi Bashite; anachofanya hivi sasa ni kutafuta attention kwa njia yoyote ile!!!


Kuna kusema na kusema kwa msisitizo!
 
Diamond Anasema Kwenye Nyimbo
Gwajima Altareni Sijaona Tatizo Hapo
Mleta mada hajui maana ya kubalance mtu akitunwa na mmiliki wa vyeti feki kumwimba Gwajma lazima Gwajma ajihami kwa nguvu zote hatuwezi kuwaacha wanaomwandama Gwajma kwa kumtaka akae kiimya.
 
Wewe mtafute Mchungaji utajuta
Nijute nini?! Kama na ufaya watu ni mafyatu zaidi yake!! Kamfanyia ufyatu Dr. Slaa; ulitarajia Dr. Slaa angerumbana nae?! Kamfanyia ufyatu Daudi Bashite; kwa nafasi ya Bashite ulitarajia aa ngerumbane nae?! Sasa ngoja siku aingie kwenye 18 za vichaa wenzake!!!
 
Back
Top Bottom