Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala siasa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ?

Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza sijui wewe ndio wewe mfungie huyu mfanyie huyu vile lawama zote atabeba Samia kwani kuongelea utekaji unaoendelea sio uchonganishi wachonganishi ni hao watekaji.

Kwamba watekaji wakidhibitiwa hakutakuwa na haya maongezi tena kama ya Gwajima ni ujinga sisi kukomaa na wanao pinga suala hilo na kuminya haki zao badala ya watekaji haya ni matumizi mabaya ya madaraka.
 
Hao wanaotekwa na kuwa ipo cku damu zao zitawanukia wauwaji wakiwa ndani na familia zao...

Gwaji boy kuwa majiki ,risasi za moto au ajali mbayà CCM hawakawi kukupa km zawaidi 🤔
 
"Hakuna wa kufunga kanisa la Mungu duniani, si kweli ni uongoo"
 
Kukemea utekaji si suala la kisiasa bali ni kusimamia haki na kupinga vitendo vya kigaidi. Serikali inapaswa kuwajibika kudhibiti watekaji, si kuwanyamazisha wanaopaza sauti dhidi ya uovu.
 
Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ?

Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza sijui wewe ndio wewe mfungie huyu mfanyie huyu vile lawama zote atabeba Samia kwani kuongelea utekaji unaoendelea sio uchonganishi wachonganishi ni hao watekaji.

Kwamba watekaji wakidhibitiwa hakutakuwa na haya maongezi tena kama ya Gwajima ni ujinga sisi kukomaa na wanao pinga suala hilo na kuminya haki zao badala ya watekaji haya ni matumizi mabaya ya madaraka.
Wewe ni genius lakini mwenzio ana form four na sasa PhD kibao
 
Back
Top Bottom