zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,155
- 28,894
Hivyo ndivyo wana sio hasa walivyo🤔Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini.
Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio tu huko amelekea Kanda ya ziwa almost yote, Kanda ya kati, nyanda za juu kusini na Sasa yupo Kusini. Mikutano hii inafanyika ikiwa na mrengo wa kujibrand kama mwanasiasa wa kitaifa na alternative ya 2025 hasa kwenye Urais.
Nasema hivi sababu kwa mara ya kwanza Gwajima amezunguka almost 60% ya wilaya ya nchi hii na kote huko anafanya mikutano ya injili huku akimpigia kampeni Samia na CCM!! ila mwenye akili timamu anajua ni kujibrand Ili siku akitangaza Nia basi awe na capital ya wapiga kura wengi.
Labda nimshauri tu Gwajima kama anataka kumchallenge Samia aanzishe chama au ahamie hata CHAUMMA ila huko CCM fomu itaprintiwa Moja tu kama 2010 na 2020 so asipoteze muda na hayo maigizo ni either ahubiri injili ya kweli au ajitokeze wazi afanye mikutano ya kisiasa Kila Jimbo ila kujificha nyuma ya kivuli Cha injili haitomsaidia kitu.
Jumapili njema
Gwaji boy anatarget 2030 ila namuonea huruma anakumbukumbu mbaya na kibaya zaidi hana pesa ya kushndana na kina nape, January au kina madilu..Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini.
Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio tu huko amelekea Kanda ya ziwa almost yote, Kanda ya kati, nyanda za juu kusini na Sasa yupo Kusini. Mikutano hii inafanyika ikiwa na mrengo wa kujibrand kama mwanasiasa wa kitaifa na alternative ya 2025 hasa kwenye Urais.
Nasema hivi sababu kwa mara ya kwanza Gwajima amezunguka almost 60% ya wilaya ya nchi hii na kote huko anafanya mikutano ya injili huku akimpigia kampeni Samia na CCM!! ila mwenye akili timamu anajua ni kujibrand Ili siku akitangaza Nia basi awe na capital ya wapiga kura wengi.
Labda nimshauri tu Gwajima kama anataka kumchallenge Samia aanzishe chama au ahamie hata CHAUMMA ila huko CCM fomu itaprintiwa Moja tu kama 2010 na 2020 so asipoteze muda na hayo maigizo ni either ahubiri injili ya kweli au ajitokeze wazi afanye mikutano ya kisiasa Kila Jimbo ila kujificha nyuma ya kivuli Cha injili haitomsaidia kitu.
Jumapili njema
Usimpangie cha kufanya, kama alijua lisu atapigwa lisasi kesho yake na akamtaarifu, basi anajua anachokifanya huyu mjumbe wa kamati kuu.Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini.
Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio tu huko amelekea Kanda ya ziwa almost yote, Kanda ya kati, nyanda za juu kusini na Sasa yupo Kusini. Mikutano hii inafanyika ikiwa na mrengo wa kujibrand kama mwanasiasa wa kitaifa na alternative ya 2025 hasa kwenye Urais.
Nasema hivi sababu kwa mara ya kwanza Gwajima amezunguka almost 60% ya wilaya ya nchi hii na kote huko anafanya mikutano ya injili huku akimpigia kampeni Samia na CCM!! ila mwenye akili timamu anajua ni kujibrand Ili siku akitangaza Nia basi awe na capital ya wapiga kura wengi.
Labda nimshauri tu Gwajima kama anataka kumchallenge Samia aanzishe chama au ahamie hata CHAUMMA ila huko CCM fomu itaprintiwa Moja tu kama 2010 na 2020 so asipoteze muda na hayo maigizo ni either ahubiri injili ya kweli au ajitokeze wazi afanye mikutano ya kisiasa Kila Jimbo ila kujificha nyuma ya kivuli Cha injili haitomsaidia kitu.
Jumapili njema.
Basi afanye mikutano ya siasa tujue Moja au afanye ya dini kama dini ila kuigiza igiza huku analenga Urais anapoteza pesa tu na atakosa vyote. Asisahau yaliyomkuta Msama Promotions alitumia gharama kuandaa matamasha ya injili kumbe analenga ubunge alipokatwa akapotea kabisa kwenye ramaniUsimpangie cha kufanya, kama alijua lisu atapigwa lisasi kesho yake na akamtaarifu, basi anajua anachokifanya huyu mjumbe wa kamati kuu.
Kama hajavunja sheria hayakuhusu, akipoteza pesa ni zake.Basi afanye mikutano ya siasa tujue Moja au afanye ya dini kama dini ila kuigiza igiza huku analenga Urais anapoteza pesa tu na atakosa vyote. Asisahau yaliyomkuta Msama Promotions alitumia gharama kuandaa matamasha ya injili kumbe analenga ubunge alipokatwa akapotea kabisa kwenye ramani
Yeah hairuhusiwi kuchanganya siasa na dini kutokana na muongozo wa usajili wa makanisa. Yaani huwezi omba kibali Cha kuhubiri injili alafu unipigia kampeni CCM. So kisheria amekosea.Kama hajavunja sheria hayakuhusu, akipoteza pesa ni zake.
Kama amevunja sheria mahakama ziko wazi, usimpangie maisha na matumizi ya pesa zake.
Sasa kamshitaki kama anavunja sheria, huwezi kumshauri mtu amabye yupo kamati kuu anawashauri wazuri ndani ya chama wakumshauri.Yeah hairuhusiwi kuchanganya siasa na dini kutokana na muongozo wa usajili wa makanisa. Yaani huwezi omba kibali Cha kuhubiri injili alafu unipigia kampeni CCM. So kisheria amekosea.
Ila kisiasa pia nimeshauri kama ni Urais atafute chama kingine ila Kwa CCM anajidanganya. Ushauri ni either unachukua au unapotezea so should you.
Mbona alishindwa kujua ataundiwa skendo ya video chafu? Mbona pia alishindwa kujua ufisadi wa mkataba wa mchuchuma na liganga aliokua anautetea bungeni Hadi akashushuliwa na bunge Zima?Usimpangie cha kufanya, kama alijua lisu atapigwa lisasi kesho yake na akamtaarifu, basi anajua anachokifanya
Uzuri wa JF ni threads zinatunzwa, tutarudi hapa 2025 kufukua huu Uzi ambao kwa Sasa unaona hauna maana.Sasa kamshitaki kama anavunja sheria, huwezi kumshauri mtu amabye yupo kamati kuu anawashauri wazuri ndani ya chama wakumshauri.
Wasi wasi wako ni nini kama anapoteza hela zake!?
Lini CCM imekuwa na uchungu na mali za taifa hao hawakupewa 10% tu.Mbona alishindwa kujua ataundiwa skendo ya video chafu? Mbona pia alishindwa kujua ufisadi wa mkataba wa mchuchuma na liganga aliokua anautetea bungeni Hadi akashushuliwa na bunge Zima?
Gwajima yupo overrated ni tapeli tu.
Ni perception zako tu ndio zinakutuma ufikiri anataka kugombea uraisi hakuna mahali popote unapoweza kuthibitisha hiloUzuri wa JF ni threads zinatunzwa, tutarudi hapa 2025 kufukua huu Uzi ambao kwa Sasa unaona hauna maana.
Jamaa anapesa kibao. sadaka na mafungu ya kumi ya waomini, mpaka anamiliki helkopta! Sema ubunge mwisho 2025. kupata tena labda Magu afufukeGwaji boy anatarget 2030 ila namuonea huruma anakumbukumbu mbaya na kibaya zaidi hana pesa ya kushndana na kina nape, January au kina madilu..
Sawa ila hana hela ya kupurukushana kwenye urais.Jamaa anapesa kibao. sadaka na mafungu ya kumi ya waomini, mpaka anamiliki helkopta! Sema ubunge mwisho 2025. kupata tena labda Magu afufuke
Umenena vema. !!Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini.