Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,713
- 11,613
Maji na mafuta yameanza kujitenga dadeki. No reform no election 🔥🔥
Ali kibao yuko wapi?deus soka yuko wapi?Chalamila yuko wapi?mdude nyagali yuko wapi? Ukinijibu hawa watu wako wapi. Basi hoja yako dhidi ya askofu gwajima itakuwa na mantikiAskofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Atachovuna hapa kisiasa ni zaidi ya hilo jimbo, mzee wa maono ya miaka 50Jimbo keshalipoteza
Nawewe unaamini Gwajima ni wa kulilia Jimbo kweli ?
Ubunge wa Kawe ,JPM ndie alimtaka awe Mbunge kama sehemu ya kumuweka Gwajima karibu ili à siendelee kumpasua .
Gwajima ni Tajiri Enzi na Enzi, UTAJIRI wake haihitaji kua Chawa , alimpasua JK, akampasua JPM, na wengineo wengi.
Acha kua na akili za Kiccm .
Gwajima is the best,na alifanya vzr kukaa kimya akifuatliaAskofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Jimbo keshalipoteza
Mchokozeni Gwajiboy ataanika hadharani kila kitu chenu hadi ratiba zenu za kutomberner
Mi nimesoma tittle tu nimegundua huyu mtoa Uzi hana akiliUkisoma huu Uzi hakika utagundua kwamba Watanzania wengi Wana matatizo ya afya ya akili.
CCM imewalea vijana wao kuamini siasa kwa kila jambo hata kwa mambo ambayo hayahitaji siasa, vijana wa UVCCM wamekuwa wajinga kupindukiaMpumbavu kweli wewe unasema. Hana uhakika na watu wanatekwa na kuuwawa kila wakati. Hivi mnakuwaje wapumbavu kiasi ichi?.
Kwa hiyo kumbe mnaua kweli?gwajima kuzungumzia swala la mauaji unamuita eti msaliti.Awamu hii mmeyatimba jibuni hoja zake..lkn anaweza shugulikiwa kipengele cha kodi tu (huyu ni evangelical profit generating scheme), the system will cointain him, hizo statement zake ni suicidal (betrayal is always suicidal), Tapeli Kakobe yuko wapi???
Hv mkuu akili yako ndio imegota hapa?? Tuna safari ndefu sana kama Taifa isee.Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.