PreGE2025 Gwajima maji ya shingo, kaanza kutapatapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.

Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.

Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.

Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.

Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Wewe ng'ombe wa Mama, huu uharo wako hapa unatusaidia/unatufundisha nini?
 
Kwa hiyo kumbe mnaua kweli?gwajima kuzungumzia swala la mauaji unamuita eti msaliti.Awamu hii mmeyatimba jibuni hoja zake
he is the invisible prolific killer, ila we kwa IQ yako huwezi nielewa
 
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.

Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.

Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.

Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.

Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
UPO KATIKA KAMATI YA UTEKAJ
 
Okay, sisi hatuangalii anachotafuta. Tumetoka na hoja yake ambayo ni vyombo vya usalama vikitaka kufanya uchunguzi wa matukio ya utekaji, utesaji na mauaji vinazuiwa na mamlaka zao za uteuzi
 
"Jambo ambalo hana uhakika nalo" Ima maana wewe hauoni wala kusikia Watu mbalimbali wanaouwawa? Ali kibao? Boniface? MUNGU AKUSAMEHE
 
Toa uchafu wako
 
HAIJALISHI ALIVYOVIFANYAGA INAJILISHA ANACHOKIFANYA
AMEONGEA UKWELI HICHO NDIO KINACHOJALISHA TU
 
Nilidhani unahoja

Kumbe ni hovyo tupu!

Alichoongea Gwajima hakizimwa kwa kinyesi cha kale

Acha upuuzi
 
HIVI SEREKALI MNATATIZO GANI KWANINI MSI SOLVE KESI ZA UTEKAJI NA MAUAJI KILA....ANAEONGELEA MNATAFUTA UJINGA WAKUONGEA MNACHOSHA NA HUU UTOTO HUU NI UPUUZI MNACHOSHA MWISHO WASIKUU MAGAIDI WATAAMKA HAPA TANZANIA KWASABABU YA UFALA WA HII SEREKALI YA SAMIA
 
Daaah safari hii chawa kazi mnayo iyo buku 7 kwa cku mtaipata kwa haki. Cha kwanza Gwaji hana njaa. Na pia hataki jimbo lenu. Lakini zaidi hoja ujibiwa kwa hoja na singinevyo. Endelea gwaji boy kupeleka Moto.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ukisikiliza vizuri Gwajiboy kaisha taja wanaohusika. Fuatilia sana mifano aliyoitoa kuhusu usalama wa taifa. hapa kaisha mpoint mtu. Hapa naunga na mchungaji, haiwezekani vyombo vya dola vikafanya utekaji tena kwa kujitambulisha. hichi ni kikundi cha watu kinachoratibiwa na wana siasa na viongozi wa vyombo vya dola wamwshindwa kuwashughulikia maana kila wagusa wanakutana na mteuaji
 
Okay, sisi hatuangalii anachotafuta. Tumetoka na hoja yake ambayo ni vyombo vya usalama vikitaka kufanya uchunguzi wa matukio ya utekaji, utesaji na mauaji vinazuiwa na mamlaka zao za uteuzi
Na hii ndio hoja ya askofu
 
Huyu atakua mgeni hamjui Gwajima vzr
Pale kaongea Kwa hekima tu
Na kasema ushauri usiposingatiwa atarudia Tena na atakaporudi haitakuwa km hii😅😅
Mungu ameamua kupigana kinyume cha adui wa mtawala, kwasababu amekataa kuisikiliza sauti za wengi
 
Mwambie huyo mzanzibar aliyeunda kikundi cha kuwauwa watanganyika ajiandae kwa magumu zaidi,kwanini aunde kikundi cha kutuuwa watanganyika katika nchi yetu!?

Kikundi hicho kinasimamiwa na mchengerwa mkwe wake,mungu tusaidie ,tupe nguvu na maarifa ya kupambana na huyu mzanzibar anayenuka damu za watanganyika
 
Back
Top Bottom