PreGE2025 Gwajima maji ya shingo, kaanza kutapatapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe huenda uko katika kikosi kile ambacho kina presd.order ya kuteka na kuua watu wasiokuwa na hatia!
Damu yao itakuwa juu ya vichwa vyenu.
 
Kwahiyo watu 83 hawajapotezwa?
Je serikali haijasikia kuwa watu wanatekwa?
 
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.

Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.

Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.

Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.

Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Gwaji boy will tia you
 
Harudi tena Bungeni ndio maana kaanza kulialia!
 
Sijui nani anawatuma au mnajipendekeza inshu ya Gwajima haikutakiwa kujibiwa au humu mtandaoni kuanzishiwa thread.Mnavuruga nyie watu Kuna majibu yanatakiwa yatolewa kwa utulivu.
 
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.

Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.

Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.

Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.

Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Ndio mmeanza kumjibu? W ni mwenezi wa wapi tuanze kuwajua
 
Wewe ni mtu mpumbavu sana!
 
Huna akili ya kuweza kujibu hoja za Gwajima,mama yenu analia machozi nendeni mkambembeleze huko
 
Matako yako.. ngoja siku wamteke mama ako, alafu wamlawiti , ndio utajua gwaji alikuwa ana ongea nini ..
 
..lkn anaweza shugulikiwa kipengele cha kodi tu (huyu ni evangelical profit generating scheme), the system will cointain him, hizo statement zake ni suicidal (betrayal is always suicidal), Tapeli Kakobe yuko wapi???
Kakobe yupo kanisani kwake.
 
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.

Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.

Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.

Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.

Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Kuna kitu kinaitwa customer care.yani vaa viatu vya mhusika!! Mimi binafsi nimekuwa nikishangaa kwamba mtu anajutambulisha afisa wa police ,anamchukua mtuhumiwa then unakuta yamemekuta mabaya .kweli ujitambulishe then ufanye vitu kinyume na Sheria? Hii hapana.usimpe muda wa maongezi mwongeaji!!!kunyamaza kimya wakati watu wanakusema mabaya tafisiri yake ni kwamba wanachokusema ni ukweli! No answer means yes sometimes.
 
Karibu sana Afrika ila karibu zaidi Tanzania.
1. Karibu Tanzania mahala ambapo Viongozi wanaosimamia elimu ndani ya Tanzania kuanzia Waziri wa Elimu mpaka Mratibu wa Elimu Kata hawana imani na elimu ambayo wanaisimamia.

2. Karibu sana Tanzania mahala ambapo mtu akizungumza uongo na unafiki ili kumfurahisha kiongozi anaonekana mtu wa maana lakini anayezungumza hoja anaonekana punguwani.

3. Karibu Tanzania mahala ambapo mlipakodi anateswa na watu wanaolipwa mishahara kutokana na kodi.

4. Karibu Tanzania sehemu ambayo Rais anazungumza wazi kuwa pesa za maendeleo ni zake na yeye ndo anayetoa pesa kwa maendeleo. Ilihali pesa zote ni mali ya walipakodi.

Hayati Mwalimu Nyerere pumzika Mzee wangu!
 
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.

Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.

Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.

Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.

Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Hanaga ajenda na hoja zake nyingi ni za kushambulia Mamlaka kibinafsi zaidi.

Lakini anatakiwa ashughulikiwe asiwe anazua taharuki bila sababu
 
Sidhani kama mtu mwenye moyo wa binadamu anaweza kuandika upuuzi huu.
Lakini sishangai ndo tabia ya uchawa
 
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.

Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.

Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.

Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.

Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Umetumwa Kuna kujibu 🤣🤣🤣 jibu hoja zake
 
Tatizo mtoa mada unaishi kwa kutegeme uji wa mgojwa (ccm)umesahau mgonjwa akifa unakufa akipona unakufa,mtatajana nyote mnao husika kuwafanyia ukatili binaadam wenzenu mbwa nyinyi
 
Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.

Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.

Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.

Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.

Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Mtetezi wa wabakaji, watesaji, wauaji, na mafisadi mmeanza kumzodoe Askofu Gwajima.
Uongo gani amelisema? Mbona hamjamteka Abdul anatoa rushwa? Kwanini mnawateka watu wanaopinga rushwa?
 
Kabla ya kupost chochote humu JF Shirikisha ubongo wako kwanza!
 
Back
Top Bottom