Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.

Nashangaa sana kiona mchungaji anayegeuza nyumba ya bwana kuwa sehemu ya vijembe huu si ukristu walioachiwa mitume. Mwanzo niliwaza nikadanii pia uhenda aliongea vilke kwa kuwa yeye ni binadamu na kwa udhaifu wetu twaweza kufanya hivyo bahati mbaya na tena kwa kusingizia ya kuwa ni hasira. hii ya gwajima si hasira bali ni dhamira yake tene ya dhati kufanya kisasi, sijui ni yesu gani anayemuhubili ambae aliagiza wanadamu waishi kwa chuki na visasi na si kwa upendo. kwa hali hii ya gwajima UKRISTO UMEVAMIWA
 
Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
unafiki wake ni nini?
kwani kuna UBAYA gani Gwajima kuwa karibisha wazee kutoka KOROMIJE kuongea na wana familia ya UFUFUO na UZIMA?

mna hofu na nini?
acheni hofu gwajima hamiliki JESHI LOLOTE nchini.....

Gwajima awalete tu wageni kutoka KOROMIJE siku ya jumapili....

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
That's u saying... He is in his own church, he is talking to his family, his followers. You might never know u're father might be there ( in church)... Plus, he is in his own home. . Bashite used Media and he used very bad approach... So he is right, if u can't see that... Maybe u are the victim too...

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

That is beneath a man of the cloth's dignity.

And no, my father was way too smart for the drivel that Gwajima spews.

Ain't no way he would even have entertained the thought of attending that nonsense.
 
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
Umechoka wewe nan?
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.

Sent from my SPH-L720 using JamiiForums mobile app
 
Tufunge ukurasa wa vyeti....tuangalie mambo mengine...hao wazee wakija wasiongee mambo ya shule..wahubiri neno la Mungu kusamehe 7 mara 70
 
Dada, (kwa sababu ya avataor kama ni ME nisamehe).

Hili jambo usifikilie kuwa Gwajima kwa kusema hayo na kuleta watu na wazee ukadhani yuko salama , na usione polisi imemuacha kuhusu sembe ya sumu ukafurahia , serikali inamacho makali sana na siku akikamatwa utashangaa sana.

Kuna siku hutaa kaaa kamwe uamini tena mtu wa dini yoyote ile.

Naamini unaelewa ninachosema hapo juu.

"Time is a good Teacher"
Hata ww cku ukiviona vyeti vya Bashite hutakaa uamini wanasiasa tena....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom