Gwajima is a whistle blower

ASKOFU HAWEZI KUFUNGUA KESI..VIONGOZI WETU NI WASIKIVU.WAMESIKIA NA ZIRO YA BASHITE WANAOFANYIA KAZI.
 
Mkuu cheo cha mkuu wa mkoa kinatokana na uteuzi wa rais lakini mshahara wa mkuu wa mkoa ni sehemu ya kodi zetu. Pia kama hili halitapata ufumbuzi, tutawajibu nini vijana wetu ambao ni wanafunzi, na wanalijua hili sakata kupitia mass communication ambao sasa hivi wanatuhoji iweje mtu wa fa fa fa fa anakuwa mkuu wa mkoa. Tunaomba tamko kutoka kwa mheshimiwa rais.
 
Mkuu hawa kijani wana shida nyingi sanaaa, leo hii wanafikia hatua ya kuhoji kuna haja gan ya ndugu Daudi kuonyesha vyeti vyate ilihali utendaji wake unaonekana. Wamesahau waowao ndio walisitisha ajira na malipo ya malimbikizi kwa kigezo cha vyeti feki. Ni aibu raisi kumuacha bashite ilihali wengi wameshatimuliwa kazi kwa sababu kama hizo hizo za bashite
 
Wiki nzima hii rais ameshindwa kabisa kuliongelea hili, akiwa Commender in Chief tunasumbiri kauli yake. Isiwe sharia moja kwa mmoja na nyingine kwa wengine.
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Hahaha!

Kwa sasa Itoshe kusema Gwaji ndiye tutakwenda naye!
 
Kuliko jimbo la Kawe lipotelee kwa mpwa wetu akheri tumpe Gwajima hili gunia la misumari.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…