kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,416
Inawezekana ikawa ni kweli amezaa nae ingawa bado vipimo havija pimwa,na we kwa kumchukia umeshapa jibu kuwa amezaa nae si vibaya inategemea na chuki uliyonayo moyoni,ingawa pia gwajima ni mwanaume na kuzalisha sioni kama dhambi,waambie hao viongozi kuwa tu nataka maendeleo na si makelele yasiyo namaana,, mda unakimbia kweli kweli,