ngoma ya ukae
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 611
- 621
Kwanini usimchukue yule anaye endelea na mipasho kwenye vituo vya TV? Kujamba ajambe mwingine lawama ziende kwa wazima pua...!!!Hivi huyu jamaa ni nani kwa nchi hii!? Na ana nguvu gani?
Binafsi namchukia kwa kujiingiza kwenye siasa badala ya kujikita kwenye dini.