Gwajima: Dude Limeamshwa

Gwajima: Dude Limeamshwa

Tatizo watu wanadhani dini zinatoka kwa Mungu, kumbe ni njia nyingine ya kujipatia mkate kama ilivyo siasa
 
Ivi hizi cinema mwisho wake lini mana mtu napambana kutafuta pesa toka asubui ila inaishia tu kwnye bundle
 
HAKIKA WAUMINI WANAOSALI KWA HUYU JAMAA NI VILAZA ASEEE

Perfectz;
Wewe usiende kwake kaa na huyo wako hutakuwa kilaza. Mimi siendi kwake ila simhukumu ati kwa sababu anawatibu hao wagonjwa. Nadhani vilaza ni hao wanaomtibua, alikwisha tulia wakaenda kumtibua
 
hivi gwajima kila siku akiwa hana ongea matukio haya kila siku.kutakuwa na neno la mungu.au ndo wale wale wa vituko manabii
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] baada ya courtesy visit ya Maalim Seif kwa Gwajima, jumapili iliyofuata nilitegemea kitu kutoka kwa Gwajima,but mpk leo kapiga kimyaa
Baba askofu si MTU wa kukurupuka, ni MTU makini sana,
Binafsi namwamini mpaka pale atakapovunja uaminifu
 
Natamani cku1 aropoke kitu kumhusu Jpm,ili iwe mwisho wake ufike
Hawezi kuropoka na wala rais magufuli hana baya lolote,kwanza mfano wako wenyewe tu unaonyesha jinsi usivyofikiri sawasawa,unaishi tu mradi siku zinapita
 
Hawezi kuropoka na wala rais magufuli hana baya lolote,kwanza mfano wako wenyewe tu unaonyesha jinsi usivyofikiri sawasawa,unaishi tu mradi siku zinapita
Hoja yako ni ipi hapo? Inaonekana unaishi kwenye no man's land.
 
Back
Top Bottom