Gwajima alipiga hesabu mbovu!

Gwajima alipiga hesabu mbovu!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,091
Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,

Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,

Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
 
Mchambuzi wa ⌚💯 mitano tena
 
Meno ya Mamba: Huyu Jasusi la Mbinguni unayemuongelea ni Mtu Tofauti kabisa.
Hii nchi yetu imejaliwa Neema sana, na Ina Baraka za Mwenyezi MUNGU.
Yanayotokea Sasa hayatokei bahati Mbaya.
Ila Tambua tu Akili za MUNGU hazichunguziki.
Unakumbuka Ampiphilo(Corona).
 
Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,

Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,

Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
Inaelekea wewe imani yako ndogo sana. Huyo Mama yako akifika mwezi wa 11 nitakupa 1M save huu ujumbe
 
Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,

Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,

Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
Mnajidanganya, wakristo hatuwezi ona wakristo wenzetu wananyanyaswa na huyo muislam tukanyamaza. Hii Vita tutashinda.
Kama Gwajima kapiga hesabu vibaya ujue na huyo alhaji nae kapiga hesabu vibaya kufungia kanisa badala ya Gwajima.
 
Kwani ukilifungia kanisa polisi wana husikaje?

Zumaridi alifungiwa hatukuona polisi kuzingira kanisa lake.
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
 
Ma- padri mnawashambulia , makanisa mnayafunga… mnapoelekea mnaleta udini.
 
sijawahi kusikia msikiti umefungwa hata mara moja, kwa sababu kosa la shehe sio kosa la waumini. hata ule wa mwembechai unafanya kazi hadi leo. ila kanisa limefutwa lote hadi braches zake mikoani na kote.
 
Wanafikiri kanisa ni la Gwajima.
 
Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,

Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,

Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
Kwamba sio kweli Kuna watu wanatekwa na kufa katika mazingira ya kutatanisha na vyombo vya Dola haviwajibili ipasavyo?
 
Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,

Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,

Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!

Gharama anayolipa Gwajima Haina malipo ya kiki kwenye Kanisa, na kwa hiyari ya wqpiga kura, kamwe Gwajima asingeweza pita kama Mbunge, angekuwa mtiifu kwa ccm, Hakika angekuwa Mbunge Tena 25 to 30
 
Back
Top Bottom