Gwajima ahadi hii iliishia wapi?

Gwajima ahadi hii iliishia wapi?

Mkuu Train hio itakuwa ni ile iliyookotwa Bandarini, itakuwa aliuziwa yeye.
Hata kama angeizindua ingepita wapi jaribu kufikiria
subiri Baada ya miaka kadhaa reli zikikamilika ndio uulizie
Nakushauri fanya yalio na faida acha propoganda
 
Anajiamini na kila anachokiongea si kama ni uongo ni mambo ambao tayar ameshayafanya
kwanza wewe ni nan hata uone anasema uongo kwendraaa katundike limoyo lako huko ukutani lijisemeshe huko
Ha ha ha mmeishiwa sera mmeanza matusi. Wewe ni mmoja wa misukule iliyofufuliwa na Gwajima?
 
Gwajima umeleta misukule ije ikutetee mitandaoni, Hongera sana!
 
naomba kufahamishwa,
ile chopa yake iliyopigwa chata za KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.
bado ipo?
 
Back
Top Bottom