Gwajima ahadi hii iliishia wapi?

Gwajima ahadi hii iliishia wapi?

Hahaha niliona clip juzi anakula vijisamaki kawe eti ana wasapoti wajasiliamali wa kawe.
 
Ila hii dunia kuna vituko sana.Alafu waumini wake wanashangilia kabisa.Kazi ipo kwa kweli.
 
Ataitekeleza tu hata Mungu mwenyewe aliwaahidi wana wa Israel nchi ya maziwa na asali lkn ilchukua miaka mingi kutimia

Wanakawe tumeamua kwenda na Gwajima hivyo hivyo
 
Gwaji anajiamini sana. Anaweza kusimama kanisani na kuongea uongo mkubwa tu.
Kwel Gwajima ni kiongozi anayehitajika kwa Jimbo kama kawe maana naona vile mnavyomuandama hata magufuli hamumfatili hivi hii inaonyesha Gwajima ndo kiongozi na ubunge wetu wa kawe nyie wenye chuki zenu na hofu yenu ya kupoteza ubunge hala haitawasaidia Gwajima anasonga mbele tena anaenda kwa kishindo na mwaka huu mtapata tabu sana nyie subirin tu 28 oct ndo mtaelewa
 
Hapa ilikuwa 2016.View attachment 1566394

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
20200917_162543.jpg
 
Hapa ilikuwa 2016.
View attachment 1566394

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kwenye kila jambo watu wakiwa wanafanya wanaamini kwamba watafanikisha
ndio maana naona gwajima anafanya mambo yake kwa kutumia akili na kla anachokifanya na kukielezea ni cha kweli
wale wasioelewa ni uhaba wao tu wa kufikiri na kutamua pia yale yanayoendelea

Na kila anachokisema gwajima anauhakika nacho na uhakika wa kukifanya kabisa kikakamlika
 
Hapa ilikuwa 2016.
View attachment 1566394

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Treni alishanunua bado uzinduzi na hafanyi kuwanufaisha watu ni ya kwake na anamaamuzi aitoe au asiitoe na hakuwa anaahidi ulisema kwasababu alitaka wanae wajue ikumbukwe ni baba wa kiroho na anawatoto wake na sio wananchi
Inabidi ifike wakati watu wajue kunatofauti katika kuwatumiakia watoto wako na wananchi msichanganye dini na siasa.
 
Gwaji anajiamini sana. Anaweza kusimama kanisani na kuongea uongo mkubwa tu.
Anajiamini na kila anachokiongea si kama ni uongo ni mambo ambao tayar ameshayafanya
kwanza wewe ni nan hata uone anasema uongo kwendraaa katundike limoyo lako huko ukutani lijisemeshe huko
 
Back
Top Bottom