Guys I can't sleep, I feel like I am dying

Guys I can't sleep, I feel like I am dying

I had the same problem for years, it does still happen to me from time to time. Sometimes before I fall asleep I feel like there is a siren in my ears like hospital ambulance or something. Sometimes they are very long and sometimes short like sirens. .

I feel so dizzy and when the dizness continues I feel like my body is shutting down. Hali hii ilinisumbua sana mwaka 2014 nilikuwa nakesha mpaka asubuhi naogopa kulala. Mda mwingine huwa naamka napiga push ups au naruka ruka kisha naenda kulala inakuwa inakuja kwa mbali mpaka napotelea usingizini. .

Huwa mda mwingine nikiwa nikiwa nimekolea kidogo am about to sleep huwa inanijia na siwezi kuamka kitandani unakuta mwili umekufa ganzi. Kwa nguvu zangu zote najikusanya taratibu natingisha kidole cha mguu mpaka napoweza kutingisha mguu na kuunyanyua mwili, its very scary. Yani ilinifanya mpaka nikandika a Will ili kama ikitokea nimeenda basi wasije gombania mali zangu. .

Sasa hivi ni kijana almost 30 years old, nimekaa na matatizo haya zaidi ya miaka sita. Kipindi hicho nilikuwa naenda hospital lakini hawanipi majibu ya kutoshelaza. Siku moja nikaenda hospital moja kariakoo ya DK KOYA nikakutana na dokta mmoja akanielekeza niende upanga, dispensary moja ya Dt Profesa Matuja kama sijakosea. Huyu daktari anahusika na mambo ya nervous system. Pale hospital nilipima magonjwa yote nikaonekana hormones zinazidi kwenye damu sometimes especially adrenalline hormone. .

Yule mzee akaniandikia niende Bertha hospital ipo karibu na leaders, ili kufanya kipimo cha MRI. Kile kipimo kilionyesha sina tatizo ila ni hormones kama sikosei huwa zinazidi. Aisee jambo hili lilinifanya nikawa mpweke sana na nikawa naishi kwa uoga sana. Kipindi hiki nilikuwa chuo mwaka wa pili sikufanya hata vizuri kwenye baadhi ya masomo. Niliporudi kwa dk matuja akanipatia vidonge nadhani vya kunifanya nilale, vinalenya sana. .

Nikawa naenda hospital hapo kama clinic na kila napoenda kumuona daktari lazima nilipe elfu 24, baadae kushindwa kutumia dawa zake nikaacha kwenda, zilinifanya kuwa kama teja na nikawa sisumbuki kuwaza ni kulala lala tu. Nikamwambia Mungu kama utapanga kunichukua utanichukua. Basi toka kipindi hicho hali hii huja na kuondoka. .

Nimejitahidi kushinda hali hii na nimeishi nayo kwa miaka mingi. Jitahidi sana kuangalia commedy movies uwe unafurahi mda mwingi, uwe unakuwa kwenye mahusiano positive, jitahidi kuwekeza kwenye biashara zisizo na risk kubwa ili usiwe na msongo wa mawazo n.k. Naamini kwa asilimia kubwa mawazo ni kitu kinachochamngia kuamsha hali hii. Kubwa zaidi jitahidi sana kusoma zaburi asubuhi unapoamka na usiku kabla ya kulala. Mungu akufanyie wepesi katika safari yako. .

Best, Gilbert. .
kwanza pole mkuu,pili hongera kwa kuwa na moyo wa ujasiri waq kulishinda jaribu, tatu nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Mwili mzima unakufa ganzi bro, [numbness and tingling] nimetumia dawa za hosp na mitishamba hakuna nafuu,nimepima BP na sukari hakuna,...sasa usiku huu hali imezidi kuwa mbaya nimekata hadi tamaa ya kwenda hospitali,siwezi kulala nahofia kupitiliza.
Jaribu kufanya mazoezi inaweza saidia
 
Umewahi kutumia NatB Forte? If not, try it 1tab each for 30 days!
Sijawahi mkuu, Ila kwa ushauri nilioupata hapa wacha niende Hospital Ya uhakika mkuu ,ili nijue nasumbuliwa na Nini ,Niache kupiga ramli.
Nateseka mno mkuu Sasa hv kulala naogopa,Kufanya kazi siwezi ...Ni majanga Tuu ..Ila natumai nitapona .
Nashukuru kwa ushauri wako kaka
 
Jaribu kufanya mazoezi inaweza saidia
Kiukweli huwa ninafanya mazoezi almost kila siku jogging 3-5 miles 4 Time a week,Pushups 100 Asubuhi ,100 Jioni .

Ila Nina week mbili nimestop baada ya kupunguza Kilimi/kimeo..Labda huenda ikawa Ni tatizo..Leo Jioni Nitaufanyia ushauri wako kazi.
Thank you
 
Mwili mzima unakufa ganzi bro, [numbness and tingling] nimetumia dawa za hosp na mitishamba hakuna nafuu,nimepima BP na sukari hakuna,...sasa usiku huu hali imezidi kuwa mbaya nimekata hadi tamaa ya kwenda hospitali,siwezi kulala nahofia kupitiliza.
Unahisi miguu inawaka moto mkuu?
 
Mhhhh! Mkuu kwanini umepunguza kimeo?
Kiukweli huwa ninafanya mazoezi almost kila siku jogging 3-5 miles 4 Time a week,Pushups 100 Asubuhi ,100 Jioni .

Ila Nina week mbili nimestop baada ya kupunguza Kilimi/kimeo..Labda huenda ikawa Ni tatizo..Leo Jioni Nitaufanyia ushauri wako kazi.
Thank you
 

Kiukweli huwa ninafanya mazoezi almost kila siku jogging 3-5 miles 4 Time a week,Pushups 100 Asubuhi ,100 Jioni .


Ila Nina week mbili nimestop baada ya kupunguza Kilimi/kimeo..Labda huenda ikawa Ni tatizo..Leo Jioni Nitaufanyia ushauri wako kazi.
Thank you
 
Mhhhh! Mkuu kwanini umepunguza kimeo?
Kilirefuka nikawa najisikia kabisa kinagusa ulimi,Pia nilikuwa nikilala usiku nakoroma Sana Kama Generator bovu....So nilikwenda hospital kwa doc was kunywa Kukitizama akasema Chatakiwa kupunguzwa mkuu.
 
Back
Top Bottom