Guys I can't sleep, I feel like I am dying

Guys I can't sleep, I feel like I am dying

My whole body is getting numb and tingly,I can't bear it, I've gone through Tests,I got no Diabetes or Blood pressure.
I've take neurobion Tabs... nothing works...
I've got Arab herbs ,bunch of them still no difference .

I can't bear it.

Please excuse my English grammar.

Little joke before I die :Watu wakikaribia kufa huwa wananena kwa lugha.
Usihofu sana, hiyo ni stress from overwork ama kukosa pumziko. Relax. Pia kapime kifua na damu, utakuja kunishukru.
 
Pole saa, inaonekana una upungufu wa ingredients mwilini ambazo chanzo chake ni kutokula nyama mara kwa mara.

Anza kula nyama on regular basis, tatizo litaisha hili.
Nyama nakula sana mkuu, from nyama nyekundu to nyama nyeupe,hospital walisema nina Vitamin b12 deficiency so nile mboga mboga nimekula za kutosha lakini wapi,.
Huwa ninafanya mazoezi so nazingatia diet vizuri hapa nawaza hizo deficiencies zimetokana na nini.
 
inaonekana wewe hupendi kufanya mazoezi na hunywi maji ya kutosha.

zingatia hili mkuu, utakuja kuniahukuru
yote hayo ninafanya mkuu,ila nilipumzika for two weeks baada ya kufanyiwa uvulectomy[kupunguzwa kilimi/kimeo, je yaweza kuwa sababu?
 
Nyama nakula sana mkuu, from nyama nyekundu to nyama nyeupe,hospital walisema nina Vitamin b12 deficiency so nile mboga mboga nimekula za kutosha lakini wapi,.
Huwa ninafanya mazoezi so nazingatia diet vizuri hapa nawaza hizo deficiencies zimetokana na nini.

Pole sana, unahitaji specialist mkuu, achana na hizi hospitali za ku-guess guess tatizo kama vile wanategemea ramli.
 
Pole sana, unahitaji specialist mkuu, achana na hizi hospitali za ku-guess guess tatizo kama vile wanategemea ramli.
ahsante mkuu, nitafanya hivyo,.
 

Attachments

  • 1607426572138.png
    1607426572138.png
    17.8 KB · Views: 16
I had the same problem for years, it does still happen to me from time to time. Sometimes before I fall asleep I feel like there is a siren in my ears like hospital ambulance or something. Sometimes they are very long and sometimes short like sirens. .

I feel so dizzy and when the dizness continues I feel like my body is shutting down. Hali hii ilinisumbua sana mwaka 2014 nilikuwa nakesha mpaka asubuhi naogopa kulala. Mda mwingine huwa naamka napiga push ups au naruka ruka kisha naenda kulala inakuwa inakuja kwa mbali mpaka napotelea usingizini. .

Huwa mda mwingine nikiwa nikiwa nimekolea kidogo am about to sleep huwa inanijia na siwezi kuamka kitandani unakuta mwili umekufa ganzi. Kwa nguvu zangu zote najikusanya taratibu natingisha kidole cha mguu mpaka napoweza kutingisha mguu na kuunyanyua mwili, its very scary. Yani ilinifanya mpaka nikandika a Will ili kama ikitokea nimeenda basi wasije gombania mali zangu. .

Sasa hivi ni kijana almost 30 years old, nimekaa na matatizo haya zaidi ya miaka sita. Kipindi hicho nilikuwa naenda hospital lakini hawanipi majibu ya kutoshelaza. Siku moja nikaenda hospital moja kariakoo ya DK KOYA nikakutana na dokta mmoja akanielekeza niende upanga, dispensary moja ya Dt Profesa Matuja kama sijakosea. Huyu daktari anahusika na mambo ya nervous system. Pale hospital nilipima magonjwa yote nikaonekana hormones zinazidi kwenye damu sometimes especially adrenalline hormone. .

Yule mzee akaniandikia niende Bertha hospital ipo karibu na leaders, ili kufanya kipimo cha MRI. Kile kipimo kilionyesha sina tatizo ila ni hormones kama sikosei huwa zinazidi. Aisee jambo hili lilinifanya nikawa mpweke sana na nikawa naishi kwa uoga sana. Kipindi hiki nilikuwa chuo mwaka wa pili sikufanya hata vizuri kwenye baadhi ya masomo. Niliporudi kwa dk matuja akanipatia vidonge nadhani vya kunifanya nilale, vinalenya sana. .

Nikawa naenda hospital hapo kama clinic na kila napoenda kumuona daktari lazima nilipe elfu 24, baadae kushindwa kutumia dawa zake nikaacha kwenda, zilinifanya kuwa kama teja na nikawa sisumbuki kuwaza ni kulala lala tu. Nikamwambia Mungu kama utapanga kunichukua utanichukua. Basi toka kipindi hicho hali hii huja na kuondoka. .

Nimejitahidi kushinda hali hii na nimeishi nayo kwa miaka mingi. Jitahidi sana kuangalia commedy movies uwe unafurahi mda mwingi, uwe unakuwa kwenye mahusiano positive, jitahidi kuwekeza kwenye biashara zisizo na risk kubwa ili usiwe na msongo wa mawazo n.k. Naamini kwa asilimia kubwa mawazo ni kitu kinachochamngia kuamsha hali hii. Kubwa zaidi jitahidi sana kusoma zaburi asubuhi unapoamka na usiku kabla ya kulala. Mungu akufanyie wepesi katika safari yako. .

Best, Gilbert. .
 
Back
Top Bottom