Guys I can't sleep, I feel like I am dying

Guys I can't sleep, I feel like I am dying

My whole body is getting numb and tingly, I can't bear it, I've gone through Tests,I got no Diabetes or Blood pressure. I've take neurobion Tabs nothing works. I've got Arab herbs ,bunch of them still no difference .

I can't bear it.

Please excuse my English grammar.

Little joke before I die: Watu wakikaribia kufa huwa wananena kwa lugha.
USHAOA AU KUOLEWA? Dawa muhimu sana iyo wakuu. Unajiskia balaa balaa vibaya vibaya jitathmini kwanza.
 
Sijaoa mkuu,
Sasa mkuu una Kg 70, hujaoa halafu unalalamika na shida za ajabu namna hiyo kama vile umerogwa.

Ushauri wangu kwako; Fanya mazoezi ya mwili walau mara 23 kwa mwezi, kuwa makini na nnachokuelekeza ni "Mazoezi ya mwili" sio "Mazoezi ya viungo".

Faida za mazoezi ya mwili huwa yanasaidia kuweka sawa kasi ya mzunguuko wa damu mwilini, mapigo ya moyo, utulivu wa kisaikolojia ikiwemo kuongeza utimamu na umakini wa akili.

Hakikisha unapojiandaa kufanya mazoezi ya mwili uko safi na umeachana na mawazo na harakati za shughuli za siku, hali hii itakusaidia kufanya vizuri na ipasavyo na mwili wenyewe utarudi katika hali yake ya utimamu vyema.
 
My whole body is getting numb and tingly, I can't bear it, I've gone through Tests,I got no Diabetes or Blood pressure. I've take neurobion Tabs nothing works. I've got Arab herbs ,bunch of them still no difference .

I can't bear it.

Please excuse my English grammar.

Little joke before I die: Watu wakikaribia kufa huwa wananena kwa lugha.
Am surely with r insulin lock fasting blood glucose the only therapy nothing hospitalcare is Traditional surplus
Supplements checkout now Whatsap 0692470564
Call 0620258276
 
Pole sana.. Punguza stress za kuwaza sana...




Cc: mahondaw

Umeshapima STRESS? [emoji3166][emoji23]
Yap mkuu nimefanya vipimo vya damu ..
Fbp
Rf
Vdrl
Uric acid
Na vinginevyo More nipo sawa

Pia nilikuwa Nina pericoronitis ,Nimepatiwa dawa zake pia.
Pia kuhusu stress doc kazungumzia ...
Ahsanteni nyote mlionipa ushauri na kunitia moyo.
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Love you wakuu's 😂😂✌️
 
Back
Top Bottom