Nazidi kuona aibu bora tu niondoke maana ni jambo la kustaajabisha kumuona simba anakula majani kwa wanyama wote wale yani inamaana anakuwa amekosa hata sungura?????
Chukua kitu hicho mtakuwadiana wenyeweView attachment 207439
Mambo yetu yaleeee
Mbona umevimba?