Guu la Matege maashaullah

Wenye vipaji vyao wameshapata ishara hapo
 
Last edited by a moderator:
Unajua umeongea hayo maneno mbele ya shemeji yangu atiii!!Ni bora ungeniambilia chamber kuliko hapa atiii!!!!

Ni mwanaume bana na simba akizidiwa na njaa hata majani ni msosi kwake na mwanaume akizidiwa ana njia zake za kumaliz ahilo Honey Faith
 
Last edited by a moderator:
Ni mwanaume bana na simba akizidiwa na njaa hata majani ni msosi kwake na mwanaume akizidiwa ana njia zake za kumaliz ahilo Honey Faith

Nazidi kuona aibu bora tu niondoke maana ni jambo la kustaajabisha kumuona simba anakula majani kwa wanyama wote wale yani inamaana anakuwa amekosa hata sungura?????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…