Mkuu utakuwa una makengeza....toka lini mchaga akawa na mguu kama huo......hiyo miguu ipo upareni, SINGIDA ,MWANZA......Lakini kishumundu hakuna..............Cc miss chagga Matege
Mtani kasauti kako lol..! Mtu anaweza sinzia wallah
Hajachakachua kabila huo mguu amezoom picha baada ya kupiga.........Inawezekana kachakachua kabila
Hahahahaaa hapa sisemi
Mbona kama ana ugonjwa wa matende
Honey Faith ashapita hapa mkuuNashangaa habari nzuri kama hizi zimempita MO11 na utafiti na mtu anaitwa Kibo10 na kabanga
cc Honey Faith na miss neddy
Haya....kwa hakika kwenye kazi yako ya kupaka rangi....utaiona miguu mingi tu.............Nimeipiga mimi mwenyewe usiniulize wapi na kwanini
mshana jr,Hizo kwato za Matege kweli? Ulimnasa wapi? mimi nilidhani za Mariam Kisangi.
Nashangaa habari nzuri kama hizi zimempita MO11 na utafiti na mtu anaitwa Kibo10 na kabanga
cc Honey Faith na miss neddy