Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Hata na mimi naona umeishalaniwa na yesu, nilidhani lugha ulikuja nayo tuendelee nayo hiyo hiyo wapi nimekutukana.

Wewe ndiyo umeanza kuniambia mimi na laana kukujibu umeona matusi teh teh teh huo ndiyo utaratibu wangu ukija kiungwana unakaribishwa ukija kwa matusi unakaribishwa pia.

Vipi hauna matusi mapya ulifundishwa kanisani?

Bado nasisitiza umelaaniwa chunguza post zako tangu asubuhi unatukana kila anajieleza katika uzi huu. Ndo nakuulza Masjid kunafundishwa matusi? nijuwavyo sivyo na Allah hapendi hii hali kwahiyo wewe umebebwa na ibilisi.
 
msiwatukane sana waislamu jamani. wanachofanya hawa nchi za magharibi siyo haki ni kuhalalisha kile kilichotabiriwa kwa watu msiofahamu yaani "ONE WORLD ORDER".Katika hii one world order dunia itaendeshwa kwa mifumo mitatu (Pyramid system). Picha hapo chini ipo kwenye noti ya US dollar

1. One monetary system (Hii ndiyo msingi wa 666)

Dollar+Pentagram.jpg+EDIT.jpg

2. One religion (Illuminati/freemason)

3. One government

Kwa maneno mengine katika mfumo huu uislam utapotea na kwa namna yoyote ile waislam hawawezi kukubali kwa namna yoyote ile na hili wanalifahamu sana. Yawezekana wakristo hili hatulifahamu ila tunalisoma tu.Ufunuo 13:16-18

"16. Pia alimlazimisha kila mmoja, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, mtu huru na mtumwa, atiwe chapa kwenye mkono wake wa kuume au kwenye kipaji chake cha uso,
17. ili kwamba mtu ye yote asiweze kununua wala kuuza isipokuwa amekuwa na hiyo chapa, ambayo ni jina la huyo mnyama au tarakimu za jina lake.
18. Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni 666."

Wale wanaomsikiliza Risi Putin katika hotuba zake ameshaliongelea sana hili. China nao wanalifahamu sana hili ndiyo maana wao na urusi wanapinga sana huu mfumo wa kutumia dollar kama pesa ya biashara.

Last edited by a moderator:
So ni sawa hizo blasphemous cartoons walizokuwa wanachora hao? unadhani HAWAKUONYWA?

unazungumziaje wanaoua in the name of LIBERATION?

Iwe si sawa bado hoja inabaki kuwa Allah ni kila kitu, niyeye anaweza amua saa na muda wowote kuadhibu. Je kumsaidia Allah nisahihi? je Allah ni dhaifu......Hapana nikumkosea Allah kudhani tunamsadia. Allah ni mvuta subra na anafahamu udhaifu wetu wanadamu na Siku ya kiama kila mmoja wetu atahukumiwa kwa mujibu wa matendo yake.
 
wee ni zoba tu! Ni akili ya maiti tu inayo weza kumuabudu yule anaeapia dhakar na kum..! Yote yamewafika baada ya kuwa brain washed kwa kugonga kichwa ardhi kama mjusi gong'ole kila siku ubongo woote umeyeyuka!

ha ha ha

sasa si ni bora mimi kuliko nyinyi mnaoabudu yule msela alievaa kichupi??

Tena mlivyo na roho mbaya mkampiga na kummwaga kimba

teh teh teh
 
German Interior Minister Thomas de Maiziere said on Wednesday the attack in Paris had nothing to do with Islam. "Islamic extremists and Islamic terror are something entirely different from Islam," he said. "It is immensely important to underscore that difference on a day like today." PEGIDA, which began as a protest movement against plans for new asylum-seekers' shelters, has shaken Germany's establishment with its increasingly popular rallies.
tatizo lenu hamtafakari mnakariri tu basi! Hebu tafakari hao wauwaji wanatumia rejea gani zaid ya qaraa, hadith, na miratul rasul? Siku ipo na yaja kupiga BAN Hizo rejea!
 
Iwe si sawa bado hoja inabaki kuwa Allah ni kila kitu, niyeye anaweza amua saa na muda wowote kuadhibu. Je kumsaidia Allah nisahihi? je Allah ni dhaifu......Hapana nikumkosea Allah kudhani tunamsadia. Allah ni mvuta subra na anafahamu udhaifu wetu wanadamu na Siku ya kiama kila mmoja wetu atahukumiwa kwa mujibu wa matendo yake.

jibu swali acha kulikimbia

unaona ni sawa KUUA kwa jina la LIBERATION? naomba utoe maelezo hapo kama unavyotoa kwenye mengine

map_of_iraq.gif
 
sasa MKUU YESU ATAKUA VIPI SIZE YETU TENA??

YULE MWANASESERE MMECHONGA NA KUMTUNDIKA MSALABANI UNADHANI ANAWEZA KUWA SIZE KIAKILI NA KIVYOVYOTE VILE NA MUNGU WETU SISI??

SANAMU UMELICHONGA NA KULIVESHA CHUPI KISHA UNALIABUDU NA KULIITA MUNGU HIYO AKILI AU MATOPE??

TEH TEH TEH

MAKAFIRI BANA,,,HATA KUCHAMBA MAVI TUH NI SHIDA,,UKIMVUA CHUPI HAPO LAZIMA UTOKE NDUKI

TEH TEH TEH

Mh we jamaa kweli ndafu/kiazi.

Nani ana Akili hapa

Aliyechora picha ya mfano wa yesu akaibandika ukutani kama ukumbusho,
Na anayebinua makalio juu mbele ya jiwe jeusi kama moja ya nguzo yake muhimu kwenye imani yake???

Maana naona una mahaba kwa mpenzi wako mtume mudi mpaka hutumii akilitena kwenye maandiko yako.
 
Mimi nadhani anaeabudu sanamu ndie mwehu zaid

sasa sanamu litakusaidia nini lile??
mh we jamaa kweli ndafu/kiazi.

Nani ana akili hapa

aliyechora picha ya mfano wa yesu akaibandika ukutani kama ukumbusho,
na anayebinua makalio juu mbele ya jiwe jeusi kama moja ya nguzo yake muhimu kwenye imani yake???

Maana naona una mahaba kwa mpenzi wako mtume mudi mpaka hutumii akilitena kwenye maandiko yako.
 
tatizo lenu hamtafakari mnakariri tu basi! Hebu tafakari hao wauwaji wanatumia rejea gani zaid ya qaraa, hadith, na miratul rasul? Siku ipo na yaja kupiga BAN Hizo rejea!

bravo sana hawa majamaa wamewapa haki yao...ukitaka tena kuchora inabidi ujipange kufa tu

hawa jamaa bana....ni shida sana
 
jibu swali acha kulikimbia

unaona ni sawa KUUA kwa jina la LIBERATION? naomba utoe maelezo hapo kama unavyotoa kwenye mengine

map_of_iraq.gif

Tatizo ni level of understanding. Huoni jibu hapa chini? are you serious kaka!

quote_icon.png
By Balali

Iwe si sawa bado hoja inabaki kuwa Allah ni kila kitu, niyeye anaweza amua saa na muda wowote kuadhibu. Je kumsaidia Allah nisahihi? je Allah ni dhaifu......Hapana nikumkosea Allah kudhani tunamsadia. Allah ni mvuta subra na anafahamu udhaifu wetu wanadamu na Siku ya kiama kila mmoja wetu atahukumiwa kwa mujibu wa matendo yake.
 
bravo sana hawa majamaa wamewapa haki yao...ukitaka tena kuchora inabidi ujipange kufa tu

hawa jamaa bana....ni shida sana

Unadhani Allah kafurahi sana kwa matendo hayo? unaweza weka ushahidi kushuhudia furaha ya Allah?
Acheni kumdhihaki mungu kwa matendo maovu kama haya nyinyi, nani kakaa na mungu kupewa hiyo habari?
 
Mimi nadhani anaeabudu sanamu ndie mwehu zaid

sasa sanamu litakusaidia nini lile??

We nikikwambia niambie wakristo wanaabudu vipi hilo sanamu?huna jibu.
Utasema yapo kanisani na ndani mwao.

Naomba jibu,

Lile jiwe jeusi makka huwa mnalisujudia kama nani?,au ndio allah yule?
 
ha ha hasasa si ni bora mimi kuliko nyinyi mnaoabudu yule msela alievaa kichupi??Tena mlivyo na roho mbaya mkampiga na kummwaga kimbateh teh teh
kumwaga kimba kumwaga kimba! Kasauti rainii huku unatembea kama gari imekata center bolt! Onyesha kaburi la Yesu kafir mkubwa wee! Toka muham mad akalie mjengo kule taif na kuwapa wepesi mkachanwa mikunjo wakati mnamgeza mkae taiyatul sigino lenye maga lizibe vutu, mnagawa huku uswazi kama njugu hadi unaitwa mchezo wa kisilamu! Laanatulahi!
 
Tatizo ni level of understanding. Huoni jibu hapa chini? are you serious kaka!

quote_icon.png
By Balali

Iwe si sawa bado hoja inabaki kuwa Allah ni kila kitu, niyeye anaweza amua saa na muda wowote kuadhibu. Je kumsaidia Allah nisahihi? je Allah ni dhaifu......Hapana nikumkosea Allah kudhani tunamsadia. Allah ni mvuta subra na anafahamu udhaifu wetu wanadamu na Siku ya kiama kila mmoja wetu atahukumiwa kwa mujibu wa matendo yake.

hii ni ambiguous unazunguka zunguka hujaweka vizuri go straight ni sawa si sawa.....????
 
Unadhani Allah kafurahi sana kwa matendo hayo? unaweza weka ushahidi kushuhudia furaha ya Allah?
Acheni kumdhihaki mungu kwa matendo maovu kama haya nyinyi, nani kakaa na mungu kupewa hiyo habari?

huyu jamaa walikuwa wamemuonya muda mrefu akawa hasikii

FRANCE-SHOOTING__2271320g.jpg
 
hii ni ambiguous unazunguka zunguka hujaweka vizuri go straight ni sawa si sawa.....????

Huelewi maana ya iwe si sawa hoja inabaki.....................ukonaufaham wa ainagani? hiki nikiswahili wala sio kinyaturu lugha ya watani zangu au warangi.
 
Yaani naomba hayo magaidi,yalisoma shule ya msingi kwa kodi za wafaransa,yakamatwe yachinjwe yanajiona,hivi jamani mtu anaua halafu anasema allah akbar,hivi huyo allah wenu anaryhusu kuuwa watu ovyo?
 
huyu jamaa walikuwa wamemuonya muda mrefu akawa hasikii

FRANCE-SHOOTING__2271320g.jpg

Walimuonya!!! kumbuka tunaongelea mambo ya Allah hapa, Je Allah aliwatuma wamuonye? au niudhaifu wa ubinadamu wao wakimsaidia Allah mambo ya peponi, dhambi na kugawa thawabu?
 
KWANZA wataweka sheria ya kunyang'anywa uraia mtu mwenye element za ugaidi,watahakikisha ugumu wa kuwapa uraia wageni,kwanza wataondoa ile sheria ya mtoto akizaliwa anakuwa mfaransa,yaani wataweka sheria ngumu kuhusu hawa waislamu,jamani ukienda massaille utafikiri upo Algerlia

Umesahau na wao wamekaa Algerie miaka 200 wakiinyonya tu hiyo nchi !?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom