Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Walimuonya!!! kumbuka tunaongelea mambo ya Allah hapa, Je Allah aliwatuma wamuonye? au niudhaifu wa ubinadamu wao wakimsaidia Allah mambo ya peponi, dhambi na kugawa thawabu?

Tokwa povu mpaka liishe.......utajibeba
 
Teh teh teh naona mikafiri inamwaga mipovu tu hapa

Ukijenga hoja utaeleweka. swali lipo wazi sahihi kufanya kazi ya Allah, kuadhibu kwakisingizio cha kumsaidia Allah?
 
Yaani naomba hayo magaidi,yalisoma shule ya msingi kwa kodi za wafaransa,yakamatwe yachinjwe yanajiona,hivi jamani mtu anaua halafu anasema allah akbar,hivi huyo allah wenu anaryhusu kuuwa watu ovyo?

Washangae na wale walio muua mtoto wa pekee wa mungu huku wakimkejeli ! Victoire
 
Last edited by a moderator:
Huelewi maana ya iwe si sawa hoja inabaki.....................ukonaufaham wa ainagani? hiki nikiswahili wala sio kinyaturu lugha ya watani zangu au warangi.

unajaza server mzee...point zako zimeisha naona mapovu tu

lets them die for good....you are not going to insult our religion then we stay looking at you like nothing has happened....

you will be warned....you persist you face your fate

RELIGION TOLERANCE ya kinafiki nafiki hehehehehehhehehehehe.......
 
Mimi nawashangaa wanaofurahi roho za watu kutolewa uhai maana nimungu aliyewaleta. Allah kama kachukia nimuweza wala hapana yeyote alienauwezo zaidi yake. hivyo akiamua saaa yoyote anakuchukuwa inakuwaje tuuwe kwa kumsingizia Allah? hii nidyo concern yangu kaka.
Naona wewe utakuwa msafi kama malaika,sasa nakuuliza,wakati george bush anadai mungu kamtuma kuanzisha crusade dhidi ya irag na kuua karibu watu milioni moja mbona hujawa concerned?.
au hao wazungu 12 kwako ndo wa maana sana?.

haya tumuache bush maana unaweza dai ni zamani hukua umezaliwa.
jana tu wamekufa wayemen 40 kwa mlipuko wa bomu,kama wewe kweli ni mkweli kwa unayosema na huna hila ama unafiki,hebu onyesha mahala uliposikitishwa na kuwa concerned na hao wayemen jana.

au wewe unakua concern kwa wazungu pekee kwa vile unadhani ni wa dini yako?
 
Tokwa povu mpaka liishe.......utajibeba

Mimi nakushangaa kushabikia mauwaji utadhani wewe una-guarantee ya kuishi siku zote. hili nitatizo kushangilia vifo vya hovyohovyo ukijuwa sote tutakufa. kwanini tufanye kazi ya mungu?
 
Naona wewe utakuwa msafi kama malaika,sasa nakuuliza,wakati george bush anadai mungu kamtuma kuanzisha crusade dhidi ya irag na kuua karibu watu milioni moja mbona hujawa concerned?.
au hao wazungu 12 kwako ndo wa maana sana?.

haya tumuache bush maana unaweza dai ni zamani hukua umezaliwa.
jana tu wamekufa wayemen 40 kwa mlipuko wa bomu,kama wewe kweli ni mkweli kwa unayosema na huna hila ama unafiki,hebu onyesha mahala uliposikitishwa na kuwa concerned na hao wayemen jana.

au wewe unakua concern kwa wazungu pekee kwa vile unadhani ni wa dini yako?

Unauhakika? tatizo nipale unapochoropoka na assumptions kudhania mimi niko hivyo.
 
unajaza server mzee...point zako zimeisha naona mapovu tu

lets them die for good....you are not going to insult our religion then we stay looking at you like nothing has happened....

you will be warned....you persist you face your fate

RELIGION TOLERANCE ya kinafiki nafiki hehehehehehhehehehehe.......

Wewe hutakufa?
 
Ukijenga hoja utaeleweka. swali lipo wazi sahihi kufanya kazi ya Allah, kuadhibu kwakisingizio cha kumsaidia Allah?

Ukituchezea sisi utapigwa tu.....maana hatuna jinsi, na nasema wapigwe tu ! wauawe kabisaa !
Mungu wetu si wakutundikwa ukutani.......au kuning'inizzwa mtini ! Balali
 
Last edited by a moderator:
Ukituchezea sisi utapigwa tu.....maana hatuna jinsi, na nasema wapigwe tu ! wauawe kabisaa !
Mungu wetu si wakutundikwa ukutani.......au kuning'inizzwa mtini ! Balali

Hayo mambo/maneno ya pinda na siasa za magumashi mimi hayanihusu, Lakini faham Allah sio dhaifu na kudhania hivyo nikumdhalilsha.
 
Ukijenga hoja utaeleweka. swali lipo wazi sahihi kufanya kazi ya Allah, kuadhibu kwakisingizio cha kumsaidia Allah?
Hakuna mtu anaweza kumsaidia Mungu .
Lakini unapokejeri imani ya watu,ambao wanahisia na ukawa umechokoza hisia zao,inabidi uwe responsible for your action na ukubali kuwajibika nalo.
ndo maana hata charb alijua alichokua anafanya kilikua kinaumiza hisia za watu ndo maana akadai hana mtoto,hana mke,hana gari na yuko tayari kwa lolote.
ambacho hakujua ni kuwa angewaponza wenzake wenye watoto,family etc.
huyo alikua ameshajikatia tamaa,pengine labda alikua hasimamishi na frustration za hali hiyo zikamfanya aelekeze maisha yake kuukejeri uislamu.
ameonywa kwa miaka mingi hasikii .
 
Unapo uwa nakusema Allahakbar unamanisha nini kama sio kutenda pasi na hayo uyasemayo. unauwa kwa jina la mungu maana yake nini?????????????????????????????

Je mungu hana uwezo wakujitwalia adhabu kwa imani na dini yake kudhihakiwa ila mwanadamu?
 
bravo sana hawa majamaa wamewapa haki yao...ukitaka tena kuchora inabidi ujipange kufa tuhawa jamaa bana....ni shida sana
nilitegemea jibu kama hilo kutoka kwa mkamuliwa mtarajiwa! Subiri tu mkamuaji akupige sanda tatu vutu! teh tehee!
 
Unapo uwa nakusema Allahakbar unamanisha nini kama sio kutenda pasi na hayo uyasemayo. unauwa kwa jina la mungu maana yake nini?????????????????????????????

Je mungu hana uwezo wakujitwalia adhabu kwa imani na dini yake kudhihakiwa ila mwanadamu?

Alafu aliyedhihakiwa ni nabii sio Allah naona kama unachanganya madesa
 
Naona wewe utakuwa msafi kama malaika,sasa nakuuliza,wakati george bush anadai mungu kamtuma kuanzisha crusade dhidi ya irag na kuua karibu watu milioni moja mbona hujawa concerned?.
au hao wazungu 12 kwako ndo wa maana sana?.

haya tumuache bush maana unaweza dai ni zamani hukua umezaliwa.
jana tu wamekufa wayemen 40 kwa mlipuko wa bomu,kama wewe kweli ni mkweli kwa unayosema na huna hila ama unafiki,hebu onyesha mahala uliposikitishwa na kuwa concerned na hao wayemen jana.

au wewe unakua concern kwa wazungu pekee kwa vile unadhani ni wa dini yako?

wagala bana....watoto wa kipalestina waliuliwa wakawa wanakenua hapa

sasa siku agents wa mossad walipotiwa mbaroni wakauliwa kule gaza wakaja kasi na mambo ya HAKI ZA BINADAMU na kuwahurumia...

yaani huu unafiki wa kijinga sana aisee
 
Alafu aliyedhihakiwa ni nabii sio Allah naona kama unachanganya madesa

Lazima tuongelee shina, nitafakuli za juu juu na sintofaham kumuongelea mtume S.A.W kama huna na hujuwi huyu ni mtumwa wa mnyaazimungu. Ndiyo maana wauwaji hawasemi Mtume Mohamad wao husema AllahAkbar. mimi naelewa nichokiongelea kaka nanipo kwenye mstari.
 
Bado nasisitiza umelaaniwa chunguza post zako tangu asubuhi unatukana kila anajieleza katika uzi huu. Ndo nakuulza Masjid kunafundishwa matusi? nijuwavyo sivyo na Allah hapendi hii hali kwahiyo wewe umebebwa na ibilisi.
Naona unajipa mamlaka JF unajifanya mods laana inakusumbua wewe.
 
Unauhakika? tatizo nipale unapochoropoka na assumptions kudhania mimi niko hivyo.
Ndo utubainishie sasa wewe hasa ukoje?.kwanini ishu ya kina charb unaitolea jicho sana,ama ndo umepatiapo njia ya kuwaponda waislamu?.
jana kuna watu kama kumi wamepatikana mexico wamekatwa vichwa sijaona ukiwa concerned.
leo kuna mbaba kule marekani kamtupa binti wake wa miaka mitano toka ghorofa ya tano,akafa,hauko concerned.

nikwambie tu,wewe una double standard kama walivyo wengi wa aina yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom