Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
waarabu utumwa hawakuanza leo
wameanza miaka na miaka tokea zama hizo
infact uislam ulipokuja na mtume muhammad ndipo ukapiga abolition of slave trade
miongoni mwa fundamentalintal principles of islam ni kupinga huo utumwa
i think unachanganya jambo moja baina ya uarabu na waislam
what you dont know ni kwamba wapo waarabu weengi sana,tena sana ambao ni waumin wa dini zingine ikiwemo na hiyo christianity
kama waarabu hao tuseme weengi walishiriki kwenye huu utumwa wa kuwachkua wazee wetu iweje leo tuwaone wamejaza huko usa jamaica,carribean islands na kwingineko??
Tena walichukuliwa na maneno yaliyoandikwa jesus kabisa kwenye hizo meli zao??
Au umeisahau ile ngome ya yesu??fort jesus ya kule mombasa??
Nayo ile imejengwa na waarabu au waislam kma usemavyo si ndiyo??
Upo ushahid wa moja kwa moja jins bible ilivyotumika kulaghai babu zetu ili kuwapeleka utumwani
yet bado unawakumbatia tuh
Bora kwenye kwenye nchi hizo bado kuna mabaki ya hao watumwa. Watumwa wote walipelekwa uarabuni kutokea Zanzibar walipofika Uarabuni waka hasiwa, walipozeeka wakauawa. Ndio maana mpaka leo uarabuni watu weusi hawaonekani, unadhani walienda wapi?