Gundi ipi inadumu kwa vioo vya madirisha?

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,925
5,015
Wapendwa
Mimi iliweka madirisha ya nyumba yangu hizi gundi sijui ndio zinaitwaje...miaka miwili iliyo pita.
Hadi ninapo andika hapa ina achia yenyewe hasa kwa kupigwa na jua/JOTO.
Naomba ushauri kwa mafundi, ni gundi gani nzuri/ya kudumu na inapatikana wapi?
Asanteni
 
Asante kwa mchango wako, nasubiri mafundi wengine wenye uzoefu
 
Back
Top Bottom