Guinness Smooth hii Bia tam!!

Hizi bia zinanikera maana tamu saana, hazina bittersweet feeling...Kama ile Guinness yenywe yaani unasikia kauchungu afu ndio kautamu kenyewe yaani Kama pilipili tu inayvozidi kuwasha ndio utamu wake.

Sasa Hii Haina uchungu yaani ka unakunywa Grand Malt. Mashuzi matupu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amina
Jf sijawahi kuona active member mwenye tabia nzuri kama ya huyu dada.
Huwezi kukuta post ya kuudhi au kuvunjia mtu heshima.
Kweli unanivutia hadi napata deni.
 
Jf sijawahi kuona active member mwenye tabia nzuri kama ya huyu dada.
Huwezi kukuta post ya kuudhi au kuvunjia mtu heshima.
Kweli unanivutia hadi napata deni.
Jamani.. nashukuru Sana mpendwa.
Ubarikiwe 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…