Neutral catalyst JF-Expert Member Oct 10, 2013 261 147 Mar 22, 2016 #2 Is this real or nahitaji kula carrot may be nna matatizo ya macho
kenshi JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,976 1,967 Mar 22, 2016 #3 unaweza ukasema ni mwisho wa vichekesho kumbe vichekesho ndio vinaanza
aikaruwa1983 JF-Expert Member May 6, 2011 1,398 1,500 Mar 22, 2016 #4 namuona babu ally wangu (vest nyeupe) hapo naye katimiza haki yake ya msingi ya kikatiba.....
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,113 24,642 Mar 22, 2016 #5 "Kwa hiyo basi tume imejiridhisha kura zilizopigwa ni halali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki...........ameshinda kwa asilimia 91"
"Kwa hiyo basi tume imejiridhisha kura zilizopigwa ni halali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki...........ameshinda kwa asilimia 91"