Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

Oooh jamani kafungwana utamu wake
Tuseme kweli jamaa ni mtu katika watu
Yaani kikundi chetu tulisema tukivunja vicoba mwaka huu awe mgeni rasmi jamani habari mbaya Sana hii kwetu.
 
Mahakama moja nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu kifungo cha miaka 8 gerezani aliyekuwa afisa mwandamizi wa serikali ya nchi hiyo Baltasar Ebang Engonga kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma.
View attachment 3455353
Bwana Engonga aliutikisa mtandao wa intaneti mwaka jana kwa sifa chafu baada ya kuvuja kwa mamia ya video za ngono zilizopatikana kwenye vifaa vyake vya kielektroniki vilivyokamatwa wakati wa uchunguzi wa makosa ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Baadhi ya waliokuwamo kwenye video hizo walikuwa wake wa maafisa wengine wa serikali. Mbali ya kifungo cha miaka 8, Baltasar ametakiwa pia kulipa faini ya dola 220,000.
Jamaa ni Tiss wa Guine.....anatumika vyema kupumbaza miafrika ya Guine na huku kwetu kwa habari za kupumbavu.

Msimu wa Uchaguzi huu West Afrika
 
Mahakama moja nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu kifungo cha miaka 8 gerezani aliyekuwa afisa mwandamizi wa serikali ya nchi hiyo Baltasar Ebang Engonga kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma. Baltasar Ebang Engonga aliutikisa mtandao wa intaneti mwaka jana kwa sifa chafu baada ya kuvuja kwa mamia ya video za ngono zilizopatikana kwenye vifaa vyake vya kielektroniki vilivyokamatwa wakati wa uchunguzi wa makosa ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Baadhi ya waliokuwamo kwenye video hizo walikuwa wake wa maafisa wengine wa serikali. Mbali ya kifungo cha miaka 8, Baltasar ametakiwa pia kulipa faini ya dola 220,000.
 
Wanawake wengi wa kitanzania walipenda size ya mshedede wa Baltazar.
downloadfile.jpg
 
Imekuuma ulijua ntakuchekea pumbavu wee, tena ukome mwana mtoka pabaya uliyepatikana kwenye vichochoro vya kilabuni, mamayo alibakwa kwa pombe za kuonja..!!
Alichomekwa ukuni na walevi mbele na nyuma bila bismilah wala kwa jina la baba ukatokea wewe..!!

Kaanze na la mamayo lilofika menopause linatoa funza..!!
We Lamomy siamini kama haya maneno yanatoka kwako..!!
 
Back
Top Bottom