Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

Lizuri hili likaka, afu lina hela, cheo, Elimu, ndo maana limewala Ke wengi.
Afu hao wadukuzi hawajafukua vizuri mafaili, wangekuta anazowala vidampaa.
Linaonekana libasha kabisa hili li baltasar.
Lol 😂😂😂😂😂
Naona umebadilisha avatar yako.
Sema cocastic unaonekana uko vizuri kwa matumizi ya nyumbani,,naomba unizawadie kibumbu chako nikichakate safisafi
 
Wanawake wengi wa kitanzania walipenda size ya mshedede wa Baltazar.
 
Hivi walikuwa wanafika kileleni kweli wanawake wenyewe? Mbona alikuwa anakojoa chap sana,au umri?

Maana hii nayo bila kusuguliwa vizuri zile kuta inakuwa ni wastage of energy 🚮
Vip wewe huwa unasuguliwa vizuri mrembo?
 
Mahakama nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu aliyekuwa mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (NFIA), Baltasar Engonga kwenda jela miaka minane kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kujitajirisha kinyume cha sheria.

Ikumbukwe Engonga aligonga vichwa vya habari duniani mwaka jana 2024 baada ya kusambaa kwa kasi kwa kanda za ngono zilizohusisha wanawake tofauti tofauti wakidaiwa kuwa zaidi ya 400.

Video hizo za ngono zilizopatikana kwenye vifaa vyake vya kielektroniki vilivyokamatwa ikiwemo kompyuta mpakato wakati wa uchunguzi wa makosa ya matumizi mabaya ya fedha za umma baadhi ya waliokuwamo kwenye video hizo walikuwa wake wa maofisa wengine wa serikali.

Kwa mujibu wa BBC na DW, Engonga alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi, vyombo vya habari vya ndani vya Equatorial Guinea vinaripoti.

" Mahakama ya mkoa wa Bioko jana Jumanne, Agosti 26, 2025 imempata Engonga na maofisa wakuu watano wa serikali na hatia ya kufuja maelfu ya pesa za umma kwa ajili ya taifa hilo lenye utajiri mkubwa wa mafuta," imenukuliwa.

Baada ya miezi kadhaa kuzuiliwa, mahakama ya mkoa wa Bioko ilimpata Engonga pamoja na wakurugenzi wakuu wengine wa wizara ya fedha na hatia ya utakatishaji fedha kwa ajili ya matumizi ya kibinafsi, pamoja na ubadhirifu wa gharama zenye thamani ya mamia ya maelfu ya dola.

Mahakama imewahukumu kifungo cha miaka minane jela na kuwaamuru walipe mamilioni ya faini kwa hazina ya umma.

Kwa uamuzi huo, mahakama imewatia hatiani waliokuwa wakurugenzi wakuu, Mangue Monsuy Afana, Baltasar Ebang Engonga Alú, na Rubén Félix Osá Nzang, kama wahusika wa uhalifu wa ubadhirifu wa fedha za umma.
 
Anapeleka moto au anapapasa?

Nimeona video zake, kwenye mambo ya kupeleka moto, bartazar labda aniite BABU.
Wivu huo anapeleka moto ili mwanamke akojoe hafanyii sifa km anachimba viazi..!! 😹😹😹
 
Alafu hakuna kesi za kuwagonga madem, yaani hakuna dem alielalamika walikubali kwa hiari yao wenyewe
 
Back
Top Bottom