Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

Lizuri hili likaka, afu lina hela, cheo, Elimu, ndo maana limewala Ke wengi.
Afu hao wadukuzi hawajafukua vizuri mafaili, wangekuta anazowala vidampaa.
Linaonekana libasha kabisa hili li baltasar.
Lol 😂😂😂😂😂
Ukitomb siyo ubasha bhana. Mkondo uliomletea cfa siyo ubasha bali ni kuwalamba kindakindaki wake za wakubwa!
 
Lizuri hili likaka, afu lina hela, cheo, Elimu, ndo maana limewala Ke wengi.
Afu hao wadukuzi hawajafukua vizuri mafaili, wangekuta anazowala vidampaa.
Linaonekana libasha kabisa hili li baltasar.
Lol 😂😂😂😂😂
Mtu akiwa na hela tu mzuri,mondi nae mnadai mzuri, malaya bana!!
 
Huyu alitakiwa awepo kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi CCM tena akae meza kuu
 
Mahakama moja nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu kifungo cha miaka 8 gerezani aliyekuwa afisa mwandamizi wa serikali ya nchi hiyo Baltasar Ebang Engonga kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma.
Bwana Engonga aliutikisa mtandao wa intaneti mwaka jana kwa sifa chafu baada ya kuvuja kwa mamia ya video za ngono zilizopatikana kwenye vifaa vyake vya kielektroniki vilivyokamatwa wakati wa uchunguzi wa makosa ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Baadhi ya waliokuwamo kwenye video hizo walikuwa wake wa maafisa wengine wa serikali. Mbali ya kifungo cha miaka 8, Baltasar ametakiwa pia kulipa faini ya dola 220,000.
Kwani japo ulikumbuka kumwambia Engonga kula mvua hizoo?
 
Hukumu nyingi za huyu dogo,

Zimeambatana na visasi vya kulomba

Naona Wakubwa wameamua kwenda nae bampa to bampa,

Dogo alikosea Sana kurekodi video zile
 
Alichofanya baltasar kiwe ni onyo Kwa vijana wote wenye mihemko km Ile.

Kosa la baltasar sio TU kuwagonga wake za wakubwa wake (wanasiasa).
(Hao wamama huenda wameshagongwa sn mitaani ila kimya kimya)

Bali kujirekodi na kuwarelkdi akiwagonga,

aisee zile zilikua ni dharau za Hali ya juu sn aliwafanyia maboss wake.
 
Binafsi,
Mi Bora mtu anigongee mke wangu nibaki TU kuskia, huenda ntasahau

Ila kitendo Cha kumrekodi wife akimchakata,hiyo haisahauliki.

Binafsi,
Uyo jamaa siku nikimfuma,
Ni ama zangu au ama zake.
Tutagawana majengo ya umma


Kwa Uyo baltasar kufungwa jela ni Kwa usalama WA wake,

Hao Wanasiasa aliowachapia wake zao, kamwe wasingemuacha salama URAIANI
 
Kuna janja wa Engonga anachapa tako hatari 16 yrs shoo kama Johnny Sins

20251206_043909.jpg


20251206_220929.jpg
 
Back
Top Bottom