Guest za Uswahilin Najuta.....

Umetoka nje kutaka kuchunguza huyo demu ni nani, umbeya huo. Hiyo ya kusema inauma na sijazoea , nimesha isikia kwnye geust moja Kinondoni, tena sio kwamba nilikua ndani nilikua nje na nimepaki gari jirani na dirisha , jamaa alikua ana taka kuruka ukuta kwa demu , sijui kama alifanikiwa.
 
eeh, alifanikiwa
 
mie ambacho sikielewi ni kuwa mtu anatoka safari late na for some reason analala gesti! waliooa wanafanya hivi,na wake zao wanafanya hivyo pia? na wasiwasi ni huko kwenye gesti za uswazi hukawii kuokota gonjwa la ngozi ukahitaji kuajiri personal dermatologist! kha!
 
Anheuser:
unajua namna gari ni Negative reflector kwa kuhic mambo.
Ok usijali ila am just telling you the fact tht happened to me.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom