guest nyengine bwana......

guest nyengine bwana......

rebeca

Senior Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
190
Reaction score
27
408370_2941469536285_1247593962_33359282_1888763374_n.jpg lol lazima uduu kwa wasi wasi......
 
Mmh...huyo mwenye guest nae!! kuokoka ni lazima imeandikwa wapi...mbona yeye hajaokoka? angekuwa kaokoka asingejenga jumba la kufanyia ngono..# Nonsense.
 
Mmh...huyo mwenye guest nae!! kuokoka ni lazima imeandikwa wapi...mbona yeye hajaokoka? angekuwa kaokoka asingejenga jumba la kufanyia ngono..# Nonsense.

sio nyumba zote za wageni ni za kufanyia huo uchafu (unaouwaza), hii ni maalumu kwa ajili ya wapendwa watumishi ...
 
Kuna gesti dodoma sijui ni ya mwita25? Ina maneno ya kukemea zinaa, na inashauriwa wenye ndoa tu (sio wachumba) ndo washee chumba.
 
makubwa!kwa hiyo ukiingia guest house ni kazi moja tu!kwani mkiwa safarini lazima mpate wa kuduu nae?
 
Jina is nothing. tena linaweza kutumika kuficha makucha.

uko sahihi kabisa cha msingi ni kujua kua yupo ajuae yote iwe gizani au kwenye nuru na huyo ndo wa kumwogopa, ambaye ndo muumba wetu.
 
sio nyumba zote za wageni ni za kufanyia huo uchafu (unaouwaza), hii ni maalumu kwa ajili ya wapendwa watumishi ...

Weweeee tusitake kudanganyana hapa...ni 2 kati ya 10 ndo wanaingia guest house kwasababu ya uchovu wa safari au vinginevyo....waliobakia 8 ni ngono tu!!!
 
Back
Top Bottom