Guest House

Tatizo akili na mitizamo ya watu wengi hapa TZ imeishapinda kwani hatuzingatii kuwa guest house au nyumba ya wageni au lodging ni sehemu ya kufikia wageni wala sio sehemu ya wenyeji. Mfano kama fulani anaishi mjini Mwanza haiwezekani kwa namna yoyote
kuingia katika guest house iliyoko jijini Mwanza na kwa kweli ni vigumu kuzifahamu pengine hata kwa majina baadhi ya guest house zilizoko katika eneo lako. Bahati mbaya sana hali ni tofauti kwa sasa, kwani wenyeji wanaweza wakawa wanafahamu hata rangi za mashuka ya vitanda ya guest houses zilizoko katika maeneo yao.
 
maeno ya njombe kama unashuka matarawe...enzi nikiwa njosi uboyizin!!
Pembeni yake kuna TOYOTA G HOUSE!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom