mangatara hawa ni masela tu wa vijiweni wangekuwa na familia na majukumu huu muda wasingepata wallahMshana jr.
Ingelikuwa ni weye ungelifanyaje? Maisha bora au bora maisha?? Ukimpata mfadhili akanunua hivyo vilabu vyote saba halafu mkaamua kupoteza mawazo ungeomchukia au ungemsifu? Miye sinywi kilevi lakini kama ni njia muafaka kupoteza fahamu angalao siku moja si mbaya. Kila kukicha afadhali ya jana loh! Acha waweke lock kesho wataitoa bila shida
Heri yao! Sio wale wajinga wengine ambao wakipiga gambe wanakimbilia uzinzi na kisingizia pombe. Mbona washikaji wamepiga vitu halafu wakapumnzika