Gud music system

furaha2008

Member
May 31, 2012
24
0
Wadau naombeni nifunguke kwanza kwa kutoa salamu kwa wana jamv. Kwa anayejua aina ya music mzuri uwe wa mwingereza, mchina na wengineo anijuze kwani nahitaji music system nzuri na isiwe home theater kwa aliye dar please anijulishe au kama kuna seller humu ndani apost na picture na ntafurahi zaidi kama itakuwa ni sony na bei yake
 
Inaelekea unapenda Sony zaidi. Lakini kama unataka music system nzuri sana, nadhani Bang & Olfsen (Danish Company) au Bose ndiyo nzuri zaidi japokuwa Bang & Olfsen ni aghali sana na wana maduka mawili RSA. Bose hawapo Tanzania lakini niliona duka moja likiuza hizo systems kule Westlands Nairobi karibu na Jacaranda Hotel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom