Guardiola kawaharibu wajerumani

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
Chama langu nawaona sio wale niliowazoea.

Kwanza pale mbele wanapangwa warembo tu Ozil,Dlaxer na Gotze hakuna mfia timu pale tofauti na Muller ambaye anapangwa pembeni badala ya kati huku katoto ambako hakakuwa na msimu mzuri karembo Gotze kanapangwa kati

Mpira wa pasi nyingi fupifupi ambao ndiyo style ya Gurdiola ndo unapigwa kweli? Hahaha hawa sio German naowafaham wazee wagumu wa ndi...ndi na mawe ya uhakika

Hakika sijaiona radha yoyote halisi ya Mjerman mfia team zaidi ninaona wanaokolewa na ubora wa Neur.

Gurdiola kaniharibia kizazi sijui lini tena nitawaona Wajerman halisi wapiga mawe na sio hawa warembo


Angalau hili goli la pili ndo kidogo nimeona mpira wa Kijerman wa pasi tatu goli na sio ule wa mojamoja nyingi
 
ila kiungo wao tony kroos yuko njema sana kwa kupga mipira iliyokufa. harafu mleta uzi usikalili mpira kwa sasa umebadilika, ni lazma makocha wabuni falsafa mbalimbali. unacheza kulingana na game. kwenye kopa amerika si unamwona brazil anavyoteseka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom