Guantanamo Bay | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Guantanamo Bay

Discussion in 'International Forum' started by MkamaP, Jan 22, 2009.

 1. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Rais wa marekani
  Maamuzi aliyoanza nayo ni kuifunga quantamo ndani ya siku 8.
  Kitu ambacho ningependa kujuwa je wafungwa wa quantanamo watapelekwa wapi? je watapewa fidia ya kuwapotezea mwelekeo wao wa kimaisha?

  Na je Obama yawezekana ikawa chanzo cha uhuru wa kweli ktk nchi nyingi duniani? ama ndio anguko la marekani?
   
 2. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kuhusu wafungwa kuna baadhi ya nchi za ulaya zimekubali kuwapoke na wahukumiwe kwa sheria za kiraia na sio za kijeshi. Na leo kwenye CNN nilimuona mmojawapo wa aliyekuwa mtuhumiwa wa Guatenamo ambaye ameachiwa huru akisema kwamba wanampango wa kuishitaki Serikali ya Merikani ili imlipe fidia kwa madhila aliyotendewa pamoja na maumivu aliyoyapata.

  Nadhani kwa wate wote ambao hawataonekana kwamba hawana hatia wataruhusiwa kurudi katika maisha ya kawaida ili swala linaloendelea kuwaumiza vichwa ni wapi watarudishwe. Kwa sababu hofu yao ni kwamba wakirudi nchi zao za asili yawezekana kabisa wasitendewe haki au wakaanzisha mapambano dhidi ya marekani kwa madhila waliyotendewa pindi walipofungiwa kwenye hili gereza.
   
 3. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  basi kazi ipoo maana wale jamaa wote hawana makosa,Mimi nafikiri OBAMA awaombe radhi na awalipe ka % kidogo watatulia na kuendesha maisha.

  Sasa kule IRAQ napo amesema ni lini anapaachia?
   
 4. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kule Iraq alidai ndani ya miezi 16 anategemea atakuwa ameshawaondoa wanajeshi wake wote na kuwaachi wenyewe wajitawale. Ila cha kushangaza ni kwamba hao hao wanajeshi anafikiria kuwapeleka Afiganistani ili kuleta amani.

  Labda Mrs Clinton atatuhabarisha zaidi ni lini hizi sera zao watazikamilisha. Manake yeye ndio amekamata cheo cha Secretary of State na jana aliapishwa rasmi na leo ameanza kazi.
   
 5. K

  Kakulwa Senior Member

  #5
  Jan 22, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wenyewe wanasema within a year wewe unasema within 8 days,mbona unataka kuchanganya habari hapa?
   
 6. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Du kweli inashangaza mimi nilifikiri hata hawo wajeshi wa afghanistan anawarudisha nyumbani.

  Mimi wakati mwingine huwa nafikiri hata huyo Osama wanayemsema ame tengenezwa tu hata hayo majengo ni bush mwenyewe ndiye aliyabomowa ili apate sababu za kumnyonga SADDAM ,akianzia kupitia Afghan na kupata sababu ya kuelekea kwa mlengwa wake.
  Sasa kwanini basi Afghan iendelee kukaliwa na walowezi?
   
 7. K

  Komavu Senior Member

  #7
  Jan 23, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkamap,

  Kwa jinsi wanavyodai wenyewe afghan ndio kwenye kitivo cha alqaeda,
  hawa jamaa wanavyodai ndio wanahatarisha amani ya dunia.

  Kwa hiyo kama afghan ikiwa na amani, ni rahisi amani kupatikana na sehemu
  nyingine.

  ingawa hizi zote ni kama theories tu....
   
Loading...