GTA VI kuzinduliwa mwakani May 26

GTA VI kuzinduliwa mwakani May 26

D3F4ULT

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
390
Reaction score
778
Kutoka kwenye official page ya Rockstar Games, sasa ni official kuwa Grand Theft Auto VI litazinduliwa rasmi mwakani 26 may tofauti na matarajio ya watu wengi kwamba lingezinduliwa mapema ndani ya mwaka huu.
Daah hii taarifa imeniuma sana sababu hili game nlikuwa nalisubiria kwa hamu na shahuku kubwa, Guys we have to stay alive for an another year
Screenshot_20250502-200505_YouTube.jpg
 
Hivi GTA V ni free ninaweza ipata kwa smartphone nikaicheza tu vizuri?
 
Wanapiga hesabu za kupiga mpunga mrefu we unaita kuringa.
Sema safari hii wajitahidi kuleta kitu kizuri, mwisho ikawa kama ya yale GTA V kuzidiwa na GTA IV kwenye physics
 
Watuwekee na coffee mod kama kwenye GTA San andrea
 
Back
Top Bottom