GSM Vs Quality Group kampuni gani ina Utajiri mkubwa

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Wajuaji vipi kuhusu hizi kampuni.Zote zinamajina makubwa na zote zimeajiri watanzania wengi.
Kampuni ipi inamafanikio zaidi?
Mfano"IPP,Azam group na Mohamed interprisess tunajua wazi Mohamed yupo juu.Ikafuta Azam then IPP.
Vipi kuhusu GSM na quality group?Nani zaidi?
 
Mleta mada ulikua na lengo zuri tu lakini ndio hivyo Wanayanga washavamia pole sana..
 
Back
Top Bottom