Growing Old is Mandatory!!..HBD BelindaJacob

Growing Old is Mandatory!!..HBD BelindaJacob

.........wow!! you're my age mate, I will be 27 this Saturday. Happy birthday to U, wish u long life and prosperity.
 
***Heri ya siku ya kuzaliwa BelindaJacob!***

Asante sana dear Mbu!!..umepotea kwanza,welkam bai!!! ha ha



.........wow!! you're my age mate, I will be 27 this Saturday. Happy birthday to U, wish u long life and prosperity.

Whaao! mamii usiniambie!!..we are agemate kabisaa tena bado nusu tuwe 'bday mates/twins' ...Thanks for the wishes my dear and HBD in advance!!..Live long life!!...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Duh! nimechelewa kuiona hii job tru tru hahaha! wishing you a happy birthday,good health and lots of happiness.
 
Happy bday 2 uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu haya tumuimbie be wote kwa pamoja

zawadi ya kawimbo haka u shake shake
 
Last edited by a moderator:
Happy bday 2 uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu haya tumuimbie be wote kwa pamoja

zawadi ya kawimbo haka u shake shake


Hongera mdogo wangu,uzidishiwe hekima,busara,upendo na uchaji wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa,

Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.

Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.

Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.

Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.

Wa dhati,

BelindaJacob!!...BJ.....

xoxoxoxo
dah, kweli mi mzee!!!

aisee....:A S cry:
 
hepi bethi dei dada belinda ingawa wanasemaga sio ujanja kutokufa mapema,ila natakutakia maisha mareeeeeeeeeeeeeefu'.........
 
Duh! nimechelewa kuiona hii job tru tru hahaha! wishing you a happy birthday,good health and lots of happiness.

Bwana eeh usiwe unapotea hivyo job tru tru🙂) Many thanks and be blessed!!!


kumbe wengi wajukuu zetu humu ndani.

Ahh wewe Saint kwa kujikuza hujambo..kwani una miaka ngapi?he he



dah, kweli mi mzee!!!

aisee....:A S cry:

Ooh! MTM, kwani uzee unaanzia miaka mingapi?
Yo sound kijana bado, usiwaze uzee!!

Happy BD BJ,
may your lips grow pinkier
and you grow prettier

Manumbu, thanks a lot for beautiful line..Nimenote kwenye diary!! cheers



hahahaha! Sisemi kitu hapo. Lol

Ukiona hivyo umekubaliana na nilivyootea!!..ha ha



hepi bethi dei dada belinda ingawa wanasemaga sio ujanja kutokufa mapema,ila natakutakia maisha mareeeeeeeeeeeeeefu'.........

Thanks MwanaKl!..ila kuishi zaidi ujanja, lol...ha ha
Baraka tele kwako pia!!
Auto-Saved



Feliz cumpleaños Belinda,Dios te Bendiga.

Muchas gracias!!


Hongera sana BJ,
kumbe bado Mwali/Kigoli kabisa

Kituko asante mkuu!!..jamani mwali tena??ha ha
watu tunaelekea kukongoroka🙂)) mweeeh
 
Happy bday 2 uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu haya tumuimbie be wote kwa pamoja

zawadi ya kawimbo haka u shake shake


Thanks Mtazamaji, nimedance na kutingisha kichwa sana!! Barikiwa


Hongera mdogo wangu,uzidishiwe hekima,busara,upendo na uchaji wa Mungu.

Asante Ballerina, barikiwa sana!!...cheers!
 
Last edited by a moderator:
Jamani BelindaJacob umekuwa adimu sana jamvini! happy birthday na Mungu akubariki sana uishi kama Musa na ubarikiwe kama Solomon! Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom