Growing Old is Mandatory!!..HBD BelindaJacob

Growing Old is Mandatory!!..HBD BelindaJacob

Wapendwa,

Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.

Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.

Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.

Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.

Wa dhati,

BelindaJacob!!...BJ.....

xoxoxoxo

Ha ha ha Belinda kumbe ni spring chicken!!!
 
Wapendwa,

Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.

Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.

Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.

Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.

Wa dhati,

BelindaJacob!!...BJ.....

xoxoxoxo
Nilipanga nikuwish jana, niliposearch
[h=3]Growing Old is Mandatory!!..HBD BelindaJacob[/h]kwa google, iliniletea madudu hadi kuniponza nikijua jf imegoma nikalala, usiku huu wa manene nikajaribu tena nikakuta madudu yale yale, ila nilipofungua page nyingine ya jf nikakuta iko ok, ndipo nika seach kupitia jf na kuipata thread hii.

Japo ni jana, siku moja imeishapita, but
[h=3]HBD BelindaJacob[/h]
P.
 
Heri ya kuzaliwa BelindaJacob, uendelee kupaka lipstick miaka milioni. Mungu akuangazie upite njia nyoofu yenye ulinzi wake kila siku. Before turning 30 make sure you are at 40% of your dreams. We all live once.

Be blessed!!!
 
Nilipanga nikuwish jana, niliposearch
Growing Old is Mandatory!!..HBD BelindaJacob

kwa google, iliniletea madudu hadi kuniponza nikijua jf imegoma nikalala, usiku huu wa manene nikajaribu tena nikakuta madudu yale yale, ila nilipofungua page nyingine ya jf nikakuta iko ok, ndipo nika seach kupitia jf na kuipata thread hii.

Japo ni jana, siku moja imeishapita, but
HBD BelindaJacob


P.

So thoughtful of you, Pasco. Asante sana mkuu!! Wala hukuchelewa kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa. Sorry sikujibu mapema, nimetingwa sana siku hizi JF naingia kwa nadra sana. Barikiwa sana!!
 
Heri ya kuzaliwa BelindaJacob, uendelee kupaka lipstick miaka milioni. Mungu akuangazie upite njia nyoofu yenye ulinzi wake kila siku. Before turning 30 make sure you are at 40% of your dreams. We all live once.

Be blessed!!!

Many thanks Bavaria. Nitaendelea siku zote - Red, nude na maroon ndiyo rangi za lipstick ninazozipenda.
Asante kwa mibaraka tele. Ukae salama na Mola akuongoze ktk shughuli zako za kila siku. Shukrani za dhati!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday binti yangu Belinda. Lkn michango yako humu JF inaonyesha kuwa u mtu mzima wa 30++ and above.

Vv
 
Many thanks Bavaria. Nitaendelea siku zote - Red, nude na maroon ndiyo rangi za lipstick ninazozipenda.
Asante kwa mibaraka tele. Ukae salama na Mola akuongoze ktk shughuli zako za kila siku. Shukrani za dhati!

Any time babe
 
Heri ya siku ya kuzaliwa da Belinda ingawa nimechelewa :A S wink: Baraka tele kwako:mwaaah:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom